Uchaguzi 2020 The West has no appreciation to CCM that is why we will vote for Dkt. Magufuli

Ujumbe umemfikia Amstadam na vibaraka wake. Naomba nije niweke lugha ya Taifa baadae kidogo

Kwa kifupi John Pombe Magufuli ni mwanaume HALISI na kamili ambae anamtunza na kumlimda mamaTanzania kwa upendo usio kifani.

Magufuli kama baba ni mwanaume asiyetingishwa wala kupangiwa kwenye himaya yake, baba mwenye kujali maslahi ya familia yake, baba anayewapenda watu wake wote na anayejua kuwanyoosha watukutu.

Mwanaume kamili anapambana usiku na mchana kulea familia yake na kuwapa ulinzi na amani kwa njia yoyote Sio sawa na yule anayeomba kura za waTanzania lakini anaowatumikia na kuwaabudu na waliomtuma ni wainglishi. Tena bila aibu anataka kumuweka mke wake na watoto rehani kwa mwanaume mwenzie ili apate pesa

Cc@YEHODAYA
Ila aliwaita wazungu wanaume aarrggg
 
Maybe you and your family , but for us who desire rule of law enforcement , constitution and human rights Implementation , we will never vote for a dictator .
 
Ungekua upuuzi usingeusoma hadi mwisho? Na ungekua upuuzi usingekupa jazba?

Huu ni ukweli na unawachoma kama pasi, wapinzani mnaujua mnaongozwa ubinafsi na tamaa vinavyowapelekea kuwa wanafiki na wasaliti. Mmekua tayari kuuza utu wenu sababu ya ubinafsi ila mmefeli fafefifofu 🤣🤣🤣🤣🤣

Nife sa hivi kama nimesoma yote sina muda wa kipuuzi
 
Chadema wana watu wa ajabuajabu, wengi wao hawana maadili nadhani hawakupewa malezi na mafunzo sahihi na chama chao. Naweza kusema ndani ya hilo kundi Lema na Sugu wana akili kuliko mgombea urais wao. Pamoja na mambo yao mengine bado Tundu haingii kwa hawa watu wawili hata theluthi👌

Mama ako alibeba kituko miezi tisa
 
Ujumbe umemfikia Amstadam na vibaraka wake. Naomba nije niweke lugha ya Taifa baadae kidogo

Kwa kifupi John Pombe Magufuli ni mwanaume HALISI na kamili ambae anamtunza na kumlimda mamaTanzania kwa upendo usio kifani.

Magufuli kama baba ni mwanaume asiyetingishwa wala kupangiwa kwenye himaya yake, baba mwenye kujali maslahi ya familia yake, baba anayewapenda watu wake wote na anayejua kuwanyoosha watukutu.

Mwanaume kamili anapambana usiku na mchana kulea familia yake na kuwapa ulinzi na amani kwa njia yoyote Sio sawa na yule anayeomba kura za waTanzania lakini anaowatumikia na kuwaabudu na waliomtuma ni wainglishi. Tena bila aibu anataka kumuweka mke wake na watoto rehani kwa mwanaume mwenzie ili apate pesa.

Cc@YEHODAYA
Wewe wote mnaakili za marehemu,iko siku mtamsifia hata akijamba
 
China sio mjamaa.. kinyume cha ujamaa si ubepari, ubepari (capitalism) ni pale wenye mitaji wanapoiongoza serikali, kama vile marekani.. Seeikali huingia vitani kwa maagizo ya corporates, china ni soko huria

Unajua uzuri wetu watanzania ni mafundi wa kuzungusha maneno. Neno hilo hilo linaweza kuwa na maana hii Dar Es Salaam na likaeleweka tofauti hapo Kibaha tu. Pia sisi ni watu wajuvi sana. Mambo yetu mengi tunayajua robo robo au nusu nusu au hata idea nayo hatuna. Ila tunayajua. Ndio maana inakuwa ngumu sana kutoka tulipo, na kuona njia rahisi ni kutupa lawama.
Eti kweli China sio mjamaa ni msoko huria? Na Tanzania je?
 
CCM tried to do all those things especially during 10 years of President Kikwete era but CCM didn't get any appreciation from opposition party or the West. When 2015 came they wanted to kick CCM out
2015 elections has given us a lesson from then on how future relationship with the west should be

We thought as CCM that may be if we surrender 100 per cent to the west CCM Will be safe but 2015 proved that theory is not correct

So we have to stand firmly as ourselves

That is why we elected Magufuli to implement our new stand and we will re. Elect him again because he is the only one who can implement the new stand
Maybe you and your family , but for us who desire rule of law enforcement , constitution and human rights Implementation , we will never vote for a dictator .
 
Unajua uzuri wetu watanzania ni mafundi wa kuzungusha maneno. Neno hilo hilo linaweza kuwa na maana hii Dar Es Salaam na likaeleweka tofauti hapo Kibaha tu. Pia sisi ni watu wajuvi sana. Mambo yetu mengi tunayajua robo robo au nusu nusu au hata idea nayo hatuna. Ila tunayajua. Ndio maana inakuwa ngumu sana kutoka tulipo, na kuona njia rahisi ni kutupa lawama.
Eti kweli China sio mjamaa ni msoko huria? Na Tanzania je?
Tanzania sio bepari sio mjamaa, ni soko huria, kenya mabepari, si umesikia mgombea mtarajiwa analalamika kuna deep state, yaani wana hela wanaamua nani awe rais
 
Back
Top Bottom