Uchaguzi 2020 The West has no appreciation to CCM that is why we will vote for Dkt. Magufuli

Simply stupid. It is like giving yourself to a man for a gift and not principles.
 
Kwa kifupi John Pombe Magufuli ni mwanaume HALISI na kamili ambae anamtunza na kumlimda mamaTanzania kwa upendo usio kifani.

Magufuli kama baba ni mwanaume asiyetingishwa wala kupangiwa kwenye himaya yake, baba mwenye kujali maslahi ya familia yake, baba anayewapenda watu wake wote na anayejua kuwanyoosha watukutu.

Mwanaume kamili anapambana usiku na mchana kulea familia yake na kuwapa ulinzi na amani kwa njia yoyote Sio sawa na yule anayeomba kura za waTanzania lakini anaowatumikia na kuwaabudu na waliomtuma ni wainglishi. Tena bila aibu anataka kumuweka mke wake na watoto rehani kwa mwanaume mwenzie ili apate pesa

Cc@YEHODAYA

Unapata wapi muda wa kuandika upuuzi ..
 
Unapata wapi muda wa kuandika upuuzi ..
Ungekua upuuzi usingeusoma hadi mwisho? Na ungekua upuuzi usingekupa jazba?

Huu ni ukweli na unawachoma kama pasi, wapinzani mnaujua mnaongozwa ubinafsi na tamaa vinavyowapelekea kuwa wanafiki na wasaliti. Mmekua tayari kuuza utu wenu sababu ya ubinafsi ila mmefeli fafefifofu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
kama hamna wasomi chadema msingekuwa mnakesha usiku kucha ,tume +Nec +ccm +polisi .

Nye makima kweli
Chadema wana watu wa ajabuajabu, wengi wao hawana maadili nadhani hawakupewa malezi na mafunzo sahihi na chama chao. Naweza kusema ndani ya hilo kundi Lema na Sugu wana akili kuliko mgombea urais wao. Pamoja na mambo yao mengine bado Tundu haingii kwa hawa watu wawili hata theluthi👌
 
Lissu ana usomi gani? Alichobarikiwa ni uropokaji,Kuna watu wamesoma sheria kwa viwango vikubwa huwa wanamzoom tu😂.
 
Baba wa taifa alifeli kwenye ujamaa kwa sababu nyingi,miongoni mwazo ni hakua msimamizi mzuri wa sera zake,aliwekeza nguvu kwenye kuhubiri ujamaa lakini sio kusimamia,huu ugonjwa wa kutosimamia mopango umerthiwa na serikali zilizofuata,pili ujamaa upo kinyume na umbile la binaadam,unaviza juhudi,ubunifu..hakuna nchi iliyofuata ujamaa ikafanikiwa..tuache kusingizia wazungu

Ujamaa umefeli USSR. China in fact now is the largest economy. And by far the powerful national on earth. Ujamaa bila kuwa creative kama wachina ni kushindwa. Lakini hata ubepari nao ameshindwa sana.
Ndio maana watu wachache leo wanamiliki utajiri mkubwa kuliko wengi wanaoishi duniani
 
2015 was a turning point for our relationship with the west
kuna mtu humu alisema wewe ni 'mlokole'..........

judging by your comments, mtu anajiuliza 'ulokole' wako ni wa aina gani? maana huoneshi compassion kwa wale wanaoporwa haki zao na gvt!
 
CCM inaendelea kushinda na kuchaguliwa mwaka hadi mwaka, na itaendelea kuchaguliwa kwa sababu CCM is the best part.
Tanzania bado hatuna mbadala muafaka wa kuiondoa CCM

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Ujamaa umefeli USSR. China in fact now is the largest economy. And by far the powerful national on earth. Ujamaa bila kuwa creative kama wachina ni kushindwa. Lakini hata ubepari nao ameshindwa sana.
Ndio maana watu wachache leo wanamiliki utajiri mkubwa kuliko wengi wanaoishi duniani
China sio mjamaa.. kinyume cha ujamaa si ubepari, ubepari (capitalism) ni pale wenye mitaji wanapoiongoza serikali, kama vile marekani.. Seeikali huingia vitani kwa maagizo ya corporates, china ni soko huria
 
Back
Top Bottom