The way we balance life challenges

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,782
730,076
1464717555800.jpg
 
Alafu utakuta mumewe yuko mahali anapiga stori au anacheza drafti na rafiki zake.

Mama akifika home awashe moto ampikie jamaa lile alafu wakilala linakumbushia haki yake ya ndoa!
 
hiyo picha ni kiashiria cha mwanamke wa kafrica, na sio wanawake tlio nao siku hzi wenye bikira za papai hawawezi fanya kazi balance kama hiyo wao wakliona wameshindwa wanakimbilia chooni kutujmbukiza watoto, washcana na wanawake wa Dar BHANA full kalaaa na kinyaaa, mweee!
 
Very well said
 
Wanasemaga mwanadamu yeyote akumbwaye na changamoto na changamoto ile inamkera kiukweli au anaichukia changamoto anayopitia basi mwanadamu huyo huishuhulisha akili yake na kuhakikisha anapata ufumbuzi wa tatizo lake kama si kulipunguza basi kulitatua kabisa.

Huyu mama alishapata changamoto hivo akili yake ikafunguka akatengeneza mzani ambao atabalance mzigo wa kuni na mwanae.

Je ingekuwa leo, akili haiwazi hivyo kwakuwa kuna mbadala wa vyote hivyo. Gesi mkaa ambao mama ananunua. Baby walker au kama anagari basi mama hachoki kwa mwendo wa kutafuta kuni na kubeba maji.

Huwa nakumbuka mapenzi ya zamani kati ya mke na mume.... kupelekewa maji bafuni .... maji yanakuwa kwenye ndoo. Zamani hapakuwa na master bedroom kwa wingi na pia watu wa Tanga walikuwa wanasifiwa kwa mapishi hadi maji ya kuoga wanayayeka viungo.
Kwa dunia ya leo si kuwa wadada hawajui mapenzi au ubunifu. ...la master bedroom zipo ambapo ndoo zimekuwa mbadala wa showers na heater ambapo maji moto vuguvugu yanapatikana bila kupeleka ndoo bafuni. Haya utayaungaje maji ya kuoga kwenye shower? Labda uyaungie kwenye simtank.

Maisha hubadilika kutokana na wakati....

Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna.
Kucheka na kulia
Kuokota na kutupa
N.k. n.k....
 
Wanasemaga mwanadamu yeyote akumbwaye na changamoto na changamoto ile inamkera kiukweli au anaichukia changamoto anayopitia basi mwanadamu huyo huishuhulisha akili yake na kuhakikisha anapata usumbufu wa tatizo lake kama si kulipunguza basi kulitatua kabisa.

Huyu mama alishapata changamoto hivo akili yake ikafunguka at engineering mzani ambao atabalance mzigo wa kuni na mwanae.

Je ingekuwa leo, akili haiwezi hivyo kwakuwa kuna mbadala wa vyote hivyo. Gesi mkaa ambao mama ananunua. Baby walker au kama anagari basi mama hachoki kwa mwendo wa kutafuta kuna na kubeba maji.

Huwa nakumbuka mapenzi ya zamani kati ya mke na mume.... kupelekewa maji bafuni .... maji yanakuwa kwenye ndoo. Zamani hapakuwa na master bedroom kwa wingi na pia watu wa Tanga walikuwa wanasifiwa kwa mapishi hadi maji ya kuoga wanayayeka viungo.
Kwa dunia ya leo si kuwa wadada hawajui mapenzi au ubunifu. ...la master bedroom zipo ambapo ndoo zimekuwa mbadala wa showers na heater ambapo maji moto vuguvugu yanapatikana bila kupeleka ndoo bafuni. Haya utayaungaje maji ya kuoga kwenye shower? Labda uyaungie kwenye simtank.

Maisha hubadilika kutokana na wakati....

Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna.
Kucheka na kulia
Kuokota na kutupa
N.k. n.k....
Penda neno lako hili Kasie
 
Back
Top Bottom