Katika kipindi cha miaka 10 mfululizo nimekuwa nikiwafuatilia kwa karibu sana hawa wanasiasa wawili. Kwa kipindi chote hicho Mbowe hajawahi kumfunika kijana kwa mambo yafuatayo:
1. Uwezo wa kujenga hoja zenye akili
2. Uwezo wa kufafanua mambo ya kisiasa ya nchi bila kutumia matusi
3. Haiba ya kisiasa na uwezo mkubwa wa kufikisha ujumbe kwa wananchi
4. Anaweza kuvuta umma peke yake bila kubebwa na Dr. Slaa
Zitto has bright future compared to Mzee Mbowe.
Jina lako tu linaonyesha jinsi ulivyomtumwa na unavyotumika bila kujijua
Yaani maara hii Mbowe amekuwa Mzee? Ndio maana wenye busara wanasema kutangaza nia ya kugombea Urais sasa ni kutengeneza makundi ndani ya Chama. Leo Habib Mchange kaandika makala ndefu sana kwenye gazeti la Raia Mwema akimnadi na kumtetea Zitto, Kitila Mkumbo naye katoa msimamo wake (sijui kama amemtetea pia au la) na baadae Mchange kamnukuu Kitila Mkumbo na kuweka kwenye ukurasa wake wa facebook. Haikuishia hapo ZZK naye kaandika kuwajibu kwa pamoja Mayage S. Mayage, Mbwambo na Chahali akilalamika kwamba makala tatu za toleo lililopita zilimlenga yeye. Bahati mbaya leo makala tatu pia kwenye gazeti hilo hilo leo zimmtetea yeye....Makundi!!!! Zitto kama binadamu na kama Mwanasiasa aneweza kuwa na nia dhabiti ya kusukuma mbele gurudumu la mabadiliko lakini hofu yangu ni wafuasi wake. Wapo wanaodhani Zitto lazima awe Rais kupitia Chadema jua liwake mvua inyeshe. Hawa ni hatari kuliko ukoma na watanzania hatutawasamehe wakisababisha CCM ishinde mwaka 2015
Katika kipindi cha miaka 10 mfululizo nimekuwa nikiwafuatilia kwa karibu sana hawa wanasiasa wawili. Kwa kipindi chote hicho Mbowe hajawahi kumfunika kijana kwa mambo yafuatayo:
wakina Mbowe walipokuwa wanakijenga chama mpaka kikafikia hapa kilipo wakina Zito walikuwa wapi?Mbona wakina Tundu Lisu wako busy kujenga chama kuliko huyo anayeota kuwa rais
Nimetoa maoni juu ya kile kinachojiri ndani ya vyombo vya habari vya bongo juu ya Mh. Zitto Kabwe, kama una nia ya kutoa hoja, jaribu kufungua attachment. Asante!
Tatizo bado watanzania wengi tuna zile siasa za unazi. Watanzania inatakiwa tubadilike tuanze siasa komavu za kuwapima watu kwa matendo yao ya dhahiri. Sio kama watu wanavyokuwa na chuki tu, ukiwauliza labda tatizo hasa liko wapi, hupewi hoja na majibu ya kuridhisha. Sana sana utaambiwa tu, ooh!!! eti mnafiki. Unafiki kwenye siasa??? Mi ningependa hata kwenye katiba iwekwe sheria ya mtu kuwa anatangaza nia ya kugombea uraisi miaka miwili au mitatu kabla, ili watanzania tuwe tunapata muda wa kuwachunguza. Haya mambo ya kufanyiana suprise utadhani wachumba kwenye urais wa nchi kwa kweli hayafai. Mtu ajitokeze mapema, watanzania tuanze kumfuatilia nyendo zake ikiwemo uadilifu wake.
Katika kipindi cha miaka 10 mfululizo nimekuwa nikiwafuatilia kwa karibu sana hawa wanasiasa wawili. Kwa kipindi chote hicho Mbowe hajawahi kumfunika kijana kwa mambo yafuatayo:
1. Uwezo wa kujenga hoja zenye akili
2. Uwezo wa kufafanua mambo ya kisiasa ya nchi bila kutumia matusi
3. Haiba ya kisiasa na uwezo mkubwa wa kufikisha ujumbe kwa wananchi
4. Anaweza kuvuta umma peke yake bila kubebwa na Dr. Slaa
Zitto has bright future compared to Mzee Mbowe.
Hao uliwataja unaonaje ukiwapamanisha na CDM pumba squad (DR SLAA+ JOSEPHINE,MBOWE,SUGU,LEMA)Hakika nimefanya upembuzi yakinifu wa wanasiasa mahili watano wa ccm toka 2010 mpaka leo hii, wana sihasa hao ni JK KIKWETE, MKP PINDA, PROF MAJI MAREFU, JAH PEOPLE NA L LUSINDE a.k.a KIPAJAJI kati yao mwenye bright future zaidi ya wenzake ni KIBAJI. CCM HOYEEE!