The Washington Post: Tz Democracy dies in darkness

The Washington Post: Tz Democracy dies in darkness

Mkuu barafu hebu tutajie muandishi wa hiyo habari tulinganishe vitu
Heee! Yamekuwa hayo tena! Washington Post hawaruhusiwi kuwa na mwandishi huru, ni mpaka awe ametoka gazeti la uhuru na habari leo? Haya basi, anzeni mchakato wa kuwafungia Washington Post...
Chaaaa... aibu!
 
Let us be calm this is the first incidence of its kind. Suspicions will lead to more suspicions
Kweli ni mara ya kwanza?! Unasahau Olasitti Arusha, Mawazo Geita, Nyamongo Tarime etc. Siyo mara ya kwanza, kuna watu hawawezi kujibu hoja wanafikiri kunyamazisha ati ndiyo dawa

Cairo's
 
nimepapenda kingereza walichotumia,ni chepesi sana kueleweka hata kwa sisi tulioishia darasa la saba la "kolomije praimali sikulu".
 
Let us be calm this is the first incidence of its kind. Suspicions will lead to more suspicions

Yes we are swimming in the ocean of suspicion. But can't you ask yourself why the entire world has a common suspect so far!!!
 
Kuna kitu nakiona kwa mbali na kibaya kuhusu taifa letu.....kina kuja kwa kasi ya ajabu.......hicho kitu ujio wake hautatuacha swalama bali kitatuachia majuto makuu na ya milele...........kila kitu kidogo ambacho tunacho kitaondoka mikononi mwetu........nailazimisha nafsi yangu isiamini ujio wa kitu hicho lakini ni dhahiri kuwa kipo njiani.....na ujio wake hauepukiki.......wenye kuzuia ujio wake wameweka pamba masikioni huku wengine wakisema liwalo na liwe....ni matamshi ya hatari yanayotoka kwa watu waliokata tamaa......

Matatizo na muendelezo au mtiririko wa matukio yanayoendelea hapa nchini dhidi ya upinzani na vilio vya wapenda haki vinavuta wengi sana wakiwemo wanao tutakia mabaya na wanaotutakia mazuri........

Kitu pekee ninachowakumbusha waTanzania pamoja na misuko misuko hii lakini tunapaswa japo kwa dakika moja kuikumbuka Tanzania......

Tanzania ni kubwa zaidi ya Magufuli na CCM yote wao wote watapita lakini Tanzania itabaki......vizazi na vizazi mpaka mwisho wa dunia........

Tukiipoteza Tanzania ndio tumeshapotea kwenye ramani ya dunia......sitaki kuona tunafikia kwa Syria au Libya.........

Naamini na nawaomba waliomfanyia vile Lissu wajue kuwa wana elekea kulikaribisha jambo lililo nje ya uwezo wao na majuto yake ni makuu....kwao na kwetu sisi sote....maana machafuko hayajengi bali yanabomoa.........

Mwenyezi Mungu atuepushie na kile ninaachokiota.......

Ameni

Mungu ibariki Tanzania
 
Magufuli has faced growing accusations by rights groups and others of being intolerant of criticism since he was elected in 2015. Live transmission of parliamentary debates has stopped, and opposition rallies have been banned until the next election cycle in 2020.
 
Back
Top Bottom