Mkuu haya ndo yanaitwaje?
Wewe kabira lako mnaitaje?Kwa wanyakyusa wanayaita songwa Kama sikosei. Vitu vitamu Sana hv
MatungujaNayafahamu kilugha tuu
Jr![]()
Sio Ntuntunu ni Ntununu
Udogoni tuliziita Songwe. Nasikia saizi Songwe ni mkoa.
Enzi hizo napatikana Mafinga Pipeline. Tumekula sana hizo Songwe.Songwe.... Sawala SPM excellent memorial kumbukizi mujaraaaaaabu
Vikula - Mufindi - Iringa yapo sana hayo, ukila mengi unahisi Kama Yana kilevi 😜