Nimekija mbio nikadhani ni zile virginity zetu zile yaani Basi tu
Haya nimeyala Sana bukoba muda Sana mpaka nimesahau majina yake yana mbegu nyeusi ndani wanasema eti yanaleta radi usipo yatupa mbali
[/QUOTE]Hvyo vyote ulivyotaja ni hazina ya Kagera,umenikumbusha mbali sana mkuu,cha kusikitisha zaidi vitu hvyo vingi vimetoweka kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa/tabia nchi.Wakola muno kyoma
Sent from my iPhone using JamiiForums
[/QUOTE]Aaaah Mzee na Kagera yenu Tutawachoka sasa.....Hvyo vyote ulivyotaja ni hazina ya Kagera,umenikumbusha mbali sana mkuu,cha kusikitisha zaidi vitu hvyo vingi vimetoweka kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa/tabia nchi.Wakola muno kyoma
Sent from my iPhone using JamiiForums