The viceversa

The viceversa

Mkuu hawa ni watoto wa mtaani huko ulaya au vipi maana naona wanateseka kama wa kibongo namna wanavyo pata mateso tena naona hao wakizungu ni maridadi koliko wakiswahili ni wachafu na ukurutu na cha ajabu kuna wizara yao lakini haiyonikani mpaka wakati wa bajeti na misifa mingi ya kuwapenda ili punga letoke tu hapo tena basi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom