Bill Cosby
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 2,588
- 1,554
BBC wanatoa tafsiri yao kutetea msimamo wa kimagharibi tu.....:-\ catholic church will never bless sins.
Endeleeni kujifariji na kupiga mayowe tu hapa.
Kanisa Catholic haliwezi kwenda kinyume na maandiko.
Hilo mtasubiri mpaka mwisho wa dahari
Aliyekwambia BBC hakuna "makanjanja" ni nani? Au kitu kikiwa cha "mweupe" ndo kinakuwa perfect kwa asilimia 100?
Waziri mkuu wa nchi iliyo makao makuu ya hiyo BBC si ndiyo alikuwa anatuhimiza tuukubali ushoga?
Watu kwa unafiki bana!
Kanisa katoliki (na hata imani zingine za kidini) lina mashoga kibao lakini hawataki kuukubali ukweli hadharani.
Ha ha ha ha!
Haji mtu hapa.
Pana moto! Yuko wapi na Mkuu wa chuo au Eiyer waje hapa watumwagie vumbi lao la kujigongea mikono hewani?
Leo PAPA kafunga Shati na Mashoga.
Hii ni hatari sana kwa Kizazo kijacho!
Namuomba Mungu awapige radi waliberali wote na hao wanao wasapoti!
Sema Amen mkuu!
Bora ilivyokuwa sirini mkuu kulifanya kwa wazi hivi kunaibomoa dunia kimaadili hebu ona lilivyoleta taharuki....
Victims of clergy sex abuse stood next to Catholic church leaders in Minnesota on Monday to announce a settlement to a novel lawsuit that includes new measures to keep children safe.
The settlement averts a November trial of the claim that the Archdiocese of St. Paul and Minneapolis and the Diocese of Winona created a public nuisance by failing to warn parishioners about an abusive priest.
Binafsi bado natafakari kuhusu conspiracy theorists nazo zisikia kuhusu huyu M-jesuits.. lets wait and see
Sikajaona mafujo yako siku nyingi, au uko Syria nini?
Mkuu nafurahi hii thread imerejeshwa maana mhhh ina misukosuko mno....
Hivi kanisa kufikia hapa tuelewe nini?
Jamani inakuwaje Mara topic closed Mara removed mbona sielewi?
Uliberali unavunja heshima kabisa kwenye Kanisa hili.
Huu ni USHETANI wa kupindukia.
Mi napendelea uwazi na ukweli kwa sababu yakiendelea kuwekwa chini ya busati hayo matukio ya kingono hususan kama yale ya mapadri na vile vivulana vya kanisa yataendelea kutendeka na jamii haitojua.
Ifikie mahali jamii iache unafiki. Haya mambo yapo kwenye kila sekta za jamii.
Hebu soma hii habari ya jana huko Minnesota.....
Source
Vatican imeruhusu mazungumzo ya kujadili ushoga! Hilo suala lilikuwa haliongelewi! Na sio kwamba wamekubali ushoga! Papa ameruhusu huo mjadala, na sio kwamba wanaongelea ushoga pekee, ameruhusu majadiliano yahusuyo talaka, na changamoto za familia ya sasa kwa ujumla wake
Ha ha ha ha!
Mkuu we huna habari kuwa Hii topic imekuna watu vibaya mno.
Usishangae kuna kiongozo mmoja humu kiroho kinamuuma mno.
Anatani kuifuta kabisa. Hapa anachosubiri ni Mtu atukane tu.
Atakula ban ya mwaka na uzi utatiwa kapuni ss hivi.
Uliberali unavunja heshima kabisa kwenye Kanisa hili.
Huu ni USHETANI wa kupindukia.
Mhhh,
Inasikitisha na kushangaza kwa wale tunaodhani wana dhamana ya kusimamia miiko na maadili halafu wanakuwa wakwanza kuvunja au kutotii miiko hiyo ambayo kanisa imeihubiri miaka nenda rudi..
.
watu walikuwa na imani kwa kanisa sasa kwa muhuri huu Wa moto ni dhahiri kanisa limepoteza imani kwa waamini wake....
Kwaiyo sodoma na gomora ruksa??
Lakin fresh tuh jamaa yule si alishakufa kwa dhambi zetu??
Lets us enjoy ourslvs