Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,099
- 10,586
Vyuo vya kata vina nyomi LA watu ,hawana campus tz nzima shame on youLabda unaweza kuniambia chuo cha kata huwa kina sifa gani nitajie hata tatu tu
College of education sema kingine ambacho sikijui kuhusu chuo cha KATA UDOMCoed unajua maana yake? Au unakosoa tu
Sasa unachoshangaa nini au ulizan koz za education zinatolewa udsm peke yakeVyuo vya kata vina nyomi LA watu ,hawana campus tz nzima shame on you
College of education sema kingine ambacho sikijui kuhusu chuo cha KATA UDOM
Ng'ong'ona moja hiyo,ugali wa buku mboga kama zote na samaki juu.Dah bi nzuri pale kwenye kijia, na brother k duh umenukumbusha nyuma kidogo, hiyo coed aka ng'ong'ona
Sawa mkuu shukraniMuhimu, vyote na O'level pia
Kwahy ni cha KATA mpak mnaundiwa Coed ,wenzenu wana campus Duce,muchas ,nyie mnabanana kam shule za kataSasa unachoshangaa nini au ulizan koz za education zinatolewa udsm peke yake
Unaona sasa chuo cha kata kilivoAisee nimekumbuka Block 3 Social....Ilikua block la big brother changanyikeni humo...[emoji8][emoji16][emoji16]..Tumeishi na dada zetu humo
HIV unajua udom in college ngapi? Hahahaha tatizo haujajua unachokizungumza umejipanga kubishana tuKwahy ni cha KATA mpak mnaundiwa Coed ,wenzenu wana campus Duce,muchas ,nyie mnabanana kam shule za kata
Izo college zote zinapatikana WAP!? Unaongea bila mantikiHIV unajua udom in college ngapi? Hahahaha tatizo haujajua unachokizungumza umejipanga kubishana tu
Unajua maan ya college na campus wew mtot wa kike!?HIV unajua udom in college ngapi? Hahahaha tatizo haujajua unachokizungumza umejipanga kubishana tu
UDOM ni chuo cha kata au sio? lakini umesahau chuo kilichogeuzwa jalala na watu wote wakasema amina.Imagne eti mtu anaconfess kwamba alitolewa jalalani na watu wake wakaona freshi tu, hapo ndo waswahili wanasema nyani haoni kundu lake.Vyuo vya kata vina nyomi LA watu ,hawana campus tz nzima shame on you
College of education sema kingine ambacho sikijui kuhusu chuo cha KATA UDOM
Bora kuish jalalani kuliko kulundikwa kama mizoga ya maiti jangwani,wote wanajua ni cha kata tulizeni makalioUDOM ni chuo cha kata au sio? lakini umesahau chuo kilichogeuzwa jalala na watu wote wakasema amina.Imagne eti mtu anaconfess kwamba alitolewa jalalani na watu wake wakaona freshi tu, hapo ndo waswahili wanasema nyani haoni kundu lake.
kweli! sema kwenu wakubwa hamna sio au ndo unataka walimwengu wakufunze adabu? nani kakwambia utukane hapa?Bora kuish jalalani kuliko kulundikwa kama mizoga ya maiti jangwani,wote wanajua ni cha kata tukizeni makalio
Afu huu Uzi ulipaswa wawepo waliosoma Udom tu wengine n mamluki na malimbukeni kama hao wanaishia kutukana tu afu MTU anajiita msomikweli! sema kwenu wakubwa hamna sio au ndo unataka walimwengu wakufunze adabu? nani kakwambia utukane hapa?
Mbona povu mkuu ,nan katukana apo juu !? Au kiswahili kinakusumbua mkuukweli! sema kwenu wakubwa hamna sio au ndo unataka walimwengu wakufunze adabu? nani kakwambia utukane hapa?
Kutuliza makalio ni kukaa kimya.kajifunze kiswahili ama kweli Nyani halioni kunduleeAfu huu Uzi ulipaswa wawepo waliosoma Udom tu wengine n mamluki na malimbukeni kama hao wanaishia kutukana tu afu MTU anajiita msomi
Kiswahili chenyewe hukijui labda km unatafuta umaalufu na sifa za kijinga tumia lugha fasahaKutuliza makalio ni kukaa kimya.kajifunze kiswahili ama kweli Nyani halioni kundulee
Povu wapi man kawaida au sio, kwahyo ulisema nani watulize makalio vile? au we kiswahili alokusomesha hilo alikufunza ni jambo la kawaida ukiongea na wakubwa?Mbona povu mkuu ,nan katukana apo juu !? Au kiswahili kinakusumbua mkuu
Unaona sasa watu wa kata mnavyohaha Mara lugha fasaha mar kutukana tushike lipi!?unajua maana ya fasaha wew!?Kiswahili chenyewe hukijui labda km unatafuta umaalufu na sifa za kijinga tumia lugha fasaha