The University of DODOMA-UDOM

Vyuo vya kata vina nyomi LA watu ,hawana campus tz nzima shame on you

College of education sema kingine ambacho sikijui kuhusu chuo cha KATA UDOM
Sasa unachoshangaa nini au ulizan koz za education zinatolewa udsm peke yake
 
Aisee nimekumbuka Block 3 Social....Ilikua block la big brother changanyikeni humo.....Tumeishi na dada zetu humo
 
Wakuu samahanini..nimechaguliwa UDOM nilikuwa na uliza kunamtu yeyote anauwelew na course ya bachelor of science in information system. Kwenye upatikanaji wa ajira hata kujiajiri kama inawezekan?
 
Vyuo vya kata vina nyomi LA watu ,hawana campus tz nzima shame on you

College of education sema kingine ambacho sikijui kuhusu chuo cha KATA UDOM
UDOM ni chuo cha kata au sio? lakini umesahau chuo kilichogeuzwa jalala na watu wote wakasema amina.Imagne eti mtu anaconfess kwamba alitolewa jalalani na watu wake wakaona freshi tu, hapo ndo waswahili wanasema nyani haoni kundu lake.
 
Bora kuish jalalani kuliko kulundikwa kama mizoga ya maiti jangwani,wote wanajua ni cha kata tulizeni makalio
 
Afu huu Uzi ulipaswa wawepo waliosoma Udom tu wengine n mamluki na malimbukeni kama hao wanaishia kutukana tu afu MTU anajiita msomi
Kutuliza makalio ni kukaa kimya.kajifunze kiswahili ama kweli Nyani halioni kundulee
 
Mbona povu mkuu ,nan katukana apo juu !? Au kiswahili kinakusumbua mkuu
Povu wapi man kawaida au sio, kwahyo ulisema nani watulize makalio vile? au we kiswahili alokusomesha hilo alikufunza ni jambo la kawaida ukiongea na wakubwa?
 
Kiswahili chenyewe hukijui labda km unatafuta umaalufu na sifa za kijinga tumia lugha fasaha
Unaona sasa watu wa kata mnavyohaha Mara lugha fasaha mar kutukana tushike lipi!?unajua maana ya fasaha wew!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom