hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,117
League ya Spain ni kweli inauwiano mbovu katika timu kubwa na ndogo -- lakini league ya epl ambayo inauwiano nafuu baina ya timu kubwa na ndogo "... ndio league ambayo inaongoza kufungwa mara na team za Spain ambazo hazina uwiano sawa ... mkuu unaweza kujua sababu ni nini "!?,Ninachokiona ligi ya spain ina uwiano mbovu sana kati ya timu kubwa na timu ndogo.....
Tumuombe messi akajaribu soka kwengine.... tangu ana miaka 13 mpaka umri huo yupo kwenye club hiyo hiyo.... barca ni messi na messi ni barca.... ana kipaji kikubwa sana, lakini mfumo wa barca unamnufaisha pia.
Kitu kimoja kwa ronaldo ambacho ni kikubwa sana kuweza kukabiliana na mikimiki ya huyu messi... bila ronaldo messi angekuwa ametamba kwa miaka 10 bila upinzani.... Neymar, Hazard wamefeli kuwa kwenye kiwango cha hawa jamaa.... mpira sio tennis kwamba utashindanisha wachezaji kwa kigezo cha one on one.....
Kutokana na aina ya uchezaji wa barca Ronaldo angelichezea timu hiyo angefanikiwa zaidi kuliko sehemu zote alizopita.... kucheza na akina oshea sio jambo rahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu ni 1, tu ---, league ya Epl ina wachezaji wengi ambao wanauwezo sawa' so wale ambao wanaonekana ni wachezaji bora wa epl kiukweli ni kwamba uwezo wao haujapishana mbali sana na wachezaji wa kawaida wa epl .. ndio maana unaweza kuona huu ni mwaka karibia wa 10 sasa ..epl haijawahi kutoa hata mchezaji bora mmoja wa dunia .... so unataka king messi akacheze mpira katika league ya watu wenye uwezo mdogo kiasi hicho ... itakuwa una tania
Sent using Jamii Forums mobile app