miami0101
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,336
- 1,271
Kwanza angalia style ya messi anavyocheza halafu angalia ronaldo anavyocheza, messi anacheza namba kumi ambayo anacheza kama AMF, anashuka someTImes hadi kwa centra Midfield "CM" na kuchukua mpira kudribo kupanda kwenye eneo la hatari la opponet, wakati ronaldo cristiano kwa sasa anacheza kama central striker, wakati mwing anasimama kwenye box kusubiria cross au penetration pass, kdogo alivyokua man u na mwanzo akiwa madrid alikua anacheza kutokea pembeni kwa kasi na eneo la juu la kushambulia, uzuri wa ronaldo upo katika speed na kukimbia kupita mabeki lakini hawezi kuchezesha timu kama messi, bro! Ronaldo is CF while messi ni AMF, NANI ANAFANYA KAZI KUBWA UWANJANI HAPO?Kitu gani ambacho anacho lakini Ronaldo hanacho toa fact nikupe hela eboooh.
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
pia angalia aina za assist xa messi na jinsi anavyopiga pass ndio ut
MAvv9 y