The Undisputed Messi

Kwanza angalia style ya messi anavyocheza halafu angalia ronaldo anavyocheza, messi anacheza namba kumi ambayo anacheza kama AMF, anashuka someTImes hadi kwa centra Midfield "CM" na kuchukua mpira kudribo kupanda kwenye eneo la hatari la opponet, wakati ronaldo cristiano kwa sasa anacheza kama central striker, wakati mwing anasimama kwenye box kusubiria cross au penetration pass, kdogo alivyokua man u na mwanzo akiwa madrid alikua anacheza kutokea pembeni kwa kasi na eneo la juu la kushambulia, uzuri wa ronaldo upo katika speed na kukimbia kupita mabeki lakini hawezi kuchezesha timu kama messi, bro! Ronaldo is CF while messi ni AMF, NANI ANAFANYA KAZI KUBWA UWANJANI HAPO?
pia angalia aina za assist xa messi na jinsi anavyopiga pass ndio ut

MAvv9 y
Ronaldo mnyama case closed

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
haahaha jamaa mahaba yake kwa ronaldo yameptilza, kwahyo anamaanisha aliechukua UEFA tatu mfululizo kikosi cha madrid kilikua na RONALDO mwenyewe kikosi kizima.
Kumbe Messi amezidiwa basi na hao wote wa Madrid ndo umshindanishe na mnyama cr7

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
Hawa vijana hawampendi King Messi, wanajuwa haswaa Messi ni mchezaji bora kuwahi kutokea ila wivu/chuki zinawasumbua...kuna kipindi walikuwa wanabweka eti Messi anabebwa na akina xavi na iniesta, Messi akawaumbua baada ya akina xavi kuondoka...sasa wanasema teamates inambeba

Hawa viumbe hawalali all the time wanamuwaza messi tu....nawasiwasi wengi wao watakuwa washapata maradhi yasiyotibika.

Alafu kitu kingine...mtu kama hajui mpira si akae kimya kuliko kujidhalilisha hivyo! Kumfananisha Ronaldo/Striker na King/attaking midfielder and all possession ni kumvunjia heshima, Messi scores all types of goals; dribbles, shots outside/inside the box, free-kicks, ukija kwenye skills, playmaker ni yeye, assist goals ni yeye, mkokotaji wa kijiji ni yeye n.k... wakati Ronaldo yeye anasubiri apewe afunge kwa maana ingine tunasema "MVIZIAJI" ni kama akina Suarez, Lewandowsky, aguero, lcardi n.k. sasa kumfananisha mtu ambae anacheza all possession na striker/mjiziaji ni kumvunjia heshima.
SEMA Messi ni mchezaji Bora kwangu,but kwa majority of the people RONALDO Hana mpinzani ni king and he will still be the king forever in football history nyote semeni oyoooh eboooh.

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
Cr7 ni kama akina aguero, suarez na Lewandowsky, ni upumbavu kumlinganisha Messi.
Messi ni Kama wakina benzema,Muller,na van persie ni UPUMBAVU kumlinganisha na KING RONALDO MNYAMA.CASE CLOSED.

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
Kama unatumia free kicks kama kigezo sio mbaya uka include his statics
-penalty
-magoli ya vichwa
-magoli nje ya 18.

Kama una include magoli ya fainali pia sio mbaya uka include hizi stats
-fainali ngumu kama uefa na world cup
-knockout stage kama za uefa, Michuano ya mabara na world cup

Pia usisahau kuweka na makombe na mafanikio ya timu ya taifa.
Rudia tena kuiangalia iyo picha ya pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top 7 players with most trophies in Europe
#7. Gerard Pique – 30 trophies
#6. Zlatan Ibrahimovic – 31 trophies
#5. Maxwell – 32 trophies
#4. Andres Iniesta – 32 trophies
#3. Lionel Messi – 33 trophies
#2. Dani Alves – 34 trophies
#1. Ryan Giggs – 35 trophies

NITAFUTIENI RONALDO;););)

Messi anaenda kuvunja hii record very soon coz ana muda mrefu wa kucheza
Psg wanachukua ubingwa msimu huu na ujao alves anavuka hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee,umesahau messi ndo sababu ya kuflop kwa baadhi ya wachezaji barca pale,kisa hapati uhuru?

"He wanted to play in the middle, not on the wing, so the system changed from 4-3-3 to 4-5-1. I was sacrificed and no longer had the freedom on the pitch I need to succeed." Zlatan

Umeyashau haya mzee???Au unajisahaulisha??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hope bado unamuangalia akicheza halafu nambie Mess anacheza central midfild? Kuwa mkweli jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmmmmmmh ahaaaaaaaaah danganya ambao awaangalii mpira hila sio Mimi,nasema tena utakula BAN kwa herufi kubwa ukiendelea ujinga wako wa takwimu za uongo eboooh

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
We jamaa bhana bonge la fala

Nakupiga BAN sasaivi ukiendelea kubishana bila FACTS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Messi ni Kama wakina benzema,Muller,na van persie ni UPUMBAVU kumlinganisha na KING RONALDO MNYAMA.CASE CLOSED.

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
hapa ndio nimekujua wewe ni mshabiki wa ronaldo lakini haumzungumzii messi kama mtu unaeijua football na uliewah kuicheza, unamfananisha messi na natural strikers? hao wafananishe na suarez,paco alcacer,sergio kun aguero,cavani,diegocosta. hao ndio wakulinganisha na hao uliowataja.

pia messi huwezi kumfananisha na ronaldo kwa maana ya aina ya uchezaji.

messi mfananishe na maradona,waynerooney,firmino. .nk watu wanao uwezo wa kucheza kama midfield na wakati huohuo anaenda kufunga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom