KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,510
- 3,311
Kikwete tunamtambua by the way
Dikteta anasifika internationally???!!!!!Moi alikuwa dikteta kama Jiwe. Kawaida ya madikteta ni kwamba huwa wanazamia kusikojulikana wakishaondolewa madarakani. Mwai Kibaki alikuwa rais wa kuigwa ila umri wake na afya pia zimemfanya awe mtulivu. Tegemea kuona mengi kutoka kwa rais U.K muhula wake wa pili ukiisha.
He further revealed that there were plans in place to launch engagements with ” local and international humanitarian organisations as well as the various diaspora forums on an initiative to tackle xenophobia and intolerance.”“They would then make recommendations on the measures we can take to prevent such incidents from happening again,” Ramaphosa explained.
Uhuru huyu huyu aliyeongoza Mungiki kufanya mauwaji makubwa 2007?Moi alikuwa dikteta kama Jiwe. Kawaida ya madikteta ni kwamba huwa wanazamia kusikojulikana wakishaondolewa madarakani. Mwai Kibaki alikuwa rais wa kuigwa ila umri wake na afya pia zimemfanya awe mtulivu. Tegemea kuona mengi kutoka kwa rais U.K muhula wake wa pili ukiisha.
Kibaki sio mkora. Pumbafu wewe. Huyo ndio the best president Kenya has ever had. Halafu ni mzee sana ako in his 80s. Wacha apumzike amefanya kazi nzuri kwa miaka kumi.
Kwa hivyo nyinyi Watanzania ni primitive?? 😂😂😂😂Angalau wewe huwa msemakweli, wenzako wote wanamuabudu Uhuru. Kila kitu akifanya Uhuru kwao ni sawa sababu ni Msapere mwenzao.
Kuna watu wanaomsifia JPM kama wakenya? 😂😂😂😂😂Kwa hivyo nyinyi Watanzania ni primitive?? 😂😂😂😂
Matusi ni ya nini tena? Rais Uhuru Kenyatta ni diplomatic by nature ,usitegemee kwamba akimaliza muhula wake wa pili atazamia kwenye kaburi la sahau. Alafu pia kuna 'age factor', haya ni masuala ambayo yapo wazi na yanachambuliwa na wataalamu wa siasa kila uchao. Kuhusu influence ambayo rais U.K atamaintain hata baada ya urais wake, tofauti na marais wa hapo awali. Alafu kumbuka kwamba sio madai yako au hisia zako ndio zinazingatiwa mbele ya sheria. Kisheria rais U.K. hana la kujibu, kesi ilifika mbele ya ICC na itakupiliwa mbali na jopo la majaji, kesi ya DP Ruto pia. Time will tell, hamna haja ya ubishi mwingi na fujo.Uhuru huyu huyu aliyeongoza Mungiki kufanya mauwaji makubwa 2007?
Uhuru aliyeuwa mashahidi wote wa kesi yake The Hague?
Stupid Kikuyu boy.
Matusi ni ya nini tena? Rais Uhuru Kenyatta ni diplomatic by nature ,usitegemee kwamba akimaliza muhula wake wa pili atazamia kwenye kaburi la sahau. Alafu pia kuna age factor na mbele ya sheria hana la kujibu, kesi ilifika mbele ya ICC na itakupiliwa mbali, ya DP Ruto pia. Time will tell hamna haja ya vurugu na ubishi.
Matusi ni ya nini tena? Rais Uhuru Kenyatta ni diplomatic by nature ,usitegemee kwamba akimaliza muhula wake wa pili atazamia kwenye kaburi la sahau. Alafu pia kuna age factor, haya ni masuala ambayo yapo wazi na yanachamuliwa na wataalamu kila uchao. Kuhusu influence ambayo rais U.K atamaintain baada ya urais wake tofauti na marais wa hapo awali. Alafu kumbuka kwamba sio madai yako au hisia zako ndio zinazingatiwa kisheria. Mbele ya sheria rais U.K. hana la kujibu, kesi ilifika mbele ya ICC na itakupiliwa mbali na jopo la majaji, ya DP Ruto pia. Time will tell, hamna haja ya vurugu na ubishi.
Kwahivyo tusi lilikuwa revenge ya mimi kumuita Jiwe dikteta?Sasa unapata wapi jeuri ya kumuita JPM dikteta? Mbona hana kesi yoyote hata hukoThe Hague?
Grow up!!
Wajinga hawa, ni gere tu wanamwonea wivu jiwe linavyochapa kazi. Alafu wanomchukia JPM ni wale wa central, pro jubilee, hawapendi venye anawa outperform, waluo na de rest majority kenyans wanamkubali sana magu.Sasa unapata wapi jeuri ya kumuita JPM dikteta? Mbona hana kesi yoyote hata hukoThe Hague?
Grow up!!
Acha zako wewe, wakenya hawana interest na siasa za Tz kiasi cha kuunga mkono upande wowote, iwe chama tawala ama upinzani. Wakenya hawajui hata jina la makamu wa rais wa Tz, waziri mkuu wala kiongozi wa upinzani na vyama vyenu vya kisiasa. Stop playing the victim.Wajinga hawa, ni gere tu wanamwonea wivu jiwe linavyochapa kazi. Alafu wanomchukia JPM ni wale wa central, pro jubilee, hawapendi venye anawa outperform, waluo na de rest majority kenyans wanamkubali sana magu. All in all, real men needs haters.
Kwahivyo tusi lilikuwa revenge ya mimi kumuita Jiwe dikteta?
Kwani ni maneno yangu, si ni nyinyi wenyewe ndio mnamuita dikteta? Haya yalikuwa maoni ya ma askofu wa kanisa katoliki Tz.Tanzania's 'dictator' president threatening national unity: Catholic bishops | Africanews
The clergy also noted that the current political atmosphere bred "division and hatred that could endanger peace, security and the lives of human beings."www.africanews.com
Hawa Watanzania kwa maoni yangu bado wako na tabia primitive kwa kupraise mtu mmoja kama Mungu. Yaani Jiwe anapewa sifa kama Mungu. Kenya hakuna upuzi kama huo. Pengine wakati wa Moi lakini hio iliisha. Hata Uhuru hapewi sifa kiasi hicho.
Hahahahaaaa. Ulivyomtaja Mwai Kibaki nikamkumbuka Samwel Kivuitu halafu nikakumbuka maneno aliyosema Kabudi wakati ile kuhusu Kivuitu. "KABAKA DEMOKRASIA". Hao ma presidaa huwa wapo tu wanakula mihela yao,siasa tena za nini???!Hivi wale Marais wakora wastaafu wa Kenya huenda wapi?
I always hear Mkapa and Kikwete kwenye Majukwaa ya Kimataifa,
What about Nyayo? ama Kibaki?
Kibaki kosa lake lilikuwa ni kuiba kura tu lakini hakuhusika kwa kupanga mauwaji. Waliopanga mauwaji ni wengine na wanajulikana duniani kote. Kibaki hana uhusiano na hayo mauwaji. Dosari moja katika uongozi wake ni kuiba kura pekee. Kuna tofauti kubwa kati ya kuiba kura na kupanga mauwaji. Lakini alitenda mengi mazuri kwenye sekta ya uchumi. Moi alifilisisha nchi. Aliiba pesa yote na kupea marafiki zake. Alikuwa dikteta mjinga ambaye hakujenga barabara wala reli wala lolote, kazi ilikuwa ni kuiba tu mali ya umma na kufunga jela wapinzani wake. Kibaki alitutoa kutoka 0% economic growth hadi 7% economic growth in 2007 (the highest ever for Kenya). Kibaki aidha Alijenga au alirehabilitate barabara kutoka Mombasa hadi Nairobi, Nairobi hadi Nakuru, Nakuru hadi Kisumu. Emali hadi Oloitoktok. Thika road ndio barabara pana zaidi East Afrika ni Kibaki ndiye aliijenga. Pia alianzisha planning for Isiolo hadi Moyale. Alianzisha planning for SGR kutoka Mombasa hadi Nairobi. Konza city pia alianzisha. Miradi ya Northern, Eastern and Southern bypass za Nairobi za kupunguza jam kwa kuzuia magari kuingia CBD na kuyazungusha nje ya Nairobi Kibaki ndiye aliplan na kuyaanzisha , hayoKibaki aliiba kura na kisababisha vita 2007. Karibu arudishe nchi hadi stone age.
Kikwete na wenzake ndio walisaidia kukwepa janga.
Wakenya ni watu wa ajabu sana hapa duniani, hivi mnajitambua kweli?Kibaki kosa lake lilikuwa ni kuiba kura tu lakini hakuhusika kwa kupanga mauwaji. Waliopanga mauwaji ni wengine na wanajulikana duniani kote. Kibaki hana uhusiano na hayo mauwaji. Dosari moja katika uongozi wake ni kuiba kura pekee. Kuna tofauti kubwa kati ya kuiba kura na kupanga mauwaji. Lakini alitenda mengi mazuri kwenye sekta ya uchumi. Moi alifilisisha nchi. Aliiba pesa yote na kupea marafiki zake. Alikuwa dikteta mjinga ambaye hakujenga barabara wala reli wala lolote, kazi ilikuwa ni kuiba tu mali ya umma na kufunga jela wapinzani wake. Kibaki alitutoa kutoka 0% economic growth hadi 7% economic growth in 2007 (the highest ever for Kenya). Kibaki aidha Alijenga au alirehabilitate barabara kutoka Mombasa hadi Nairobi, Nairobi hadi Nakuru, Nakuru hadi Kisumu. Emali hadi Oloitoktok. Thika road ndio barabara pana zaidi East Afrika ni Kibaki ndiye aliijenga. Pia alianzisha planning for Isiolo hadi Moyale. Alianzisha planning for SGR kutoka Mombasa hadi Nairobi. Konza city pia alianzisha. Miradi ya Northern, Eastern and Southern bypass za Nairobi za kupunguza jam kwa kuzuia magari kuingia CBD na kuyazungusha nje ya Nairobi Kibaki ndiye aliplan na kuyaanzisha , hayo
na mambo mengi zaidi ikiwemo kupanua uhuru wa wanahabari, nikiendelea nitajaza server hapa. Uhuru pia yuko sawa kwa kujenga miundombinu kwani ni mwanauchumi kama kibaki na anaelewa umuhimu wa infrastructure katika uchumi na amejaribu kufuata nyayo ya Kibaki lakini Kibaki ndiye aliyepewa uchumi mbovu uliokuwa unakuwa kwa zero percent na baada ya miaka mitano kuukimbisha hadi 7%. Yule ni the real economist.