The top 10 countries with the strongest army in Africa

The top 10 countries with the strongest army in Africa

Mkuu hapa tunazungumzia jeshi, not peoples militia!!! Wewe unajuwa JWTZ linafanyia mazoezi ya kijeshi wapi? Wewe unasifia majeshi ya Rwanda na Uganda - Unajuwa kilicho tokea wakati majeshi ya Rwanda na Uganda yalipo jitutumua kumuondoa Madarakani Raisi Kabira Sr. Walikaribia sana mji wa Kinshasa lakini jeshi la Zimbabwe (Airforce na Infantry) liliwapa kipigo ambacho hawatakisahau katika maisha yao.

Sasa swali: Ni wapi jeshi la Zimbabwe liliwahi kupigana vita kama hiyo? Walikuwa wanafanyia mazoezi wapi? Kwa nini wako wahili kiasi hicho? Je hakuna wanajeshi wa Zimbabwe na Ma afisa wao ambao waliwahi kupata mafunzo ya kijeshi nchini TANZANIA?

Una takwimu gani za kuonyesha kwamba JWTZ si lolote si chochote, wakati mwingine tunapaswa kuwa makini na mambo tunayo andika jamvini.
wakati nchi zinazotuzunguka hazijapata uhuru majeshi yetu yalikuwa active kwani yalikuwa yanashiriki operation nyingi za kijeshi na hata mobutu aliondolewa na majeshi yetu lakini sasa hivi hakuna operation kubwa ambazo majeshi yetu yanashiriki ukiondoa shuguri za kulinda amani wakati uganda na kenya majeshi yao yako somalia kupambana na magaidi wa alshabab
 
Hovyo kabisa ..Tanzania na midege yao ya kunyunyizia dawa kwenye pamba na mbaazimunasema ni jeshi imara? U must be kidding

Tafadhari,NJOO MBEYA SAHV,NA UTAZIONA HIZO NDEGE AMBAZO WEWE UNAZIITA ZA KUNYUNYUZIA PAMBA..na utagundua kua,youre the one who is kidding now..
 
it is not my analysis......see at the bottom of my post I have sited the source...by the way do you think we can`t have strong army in EA..globally,there are some poor countries but have strong armies,....LOVE ur country amy be ur not Tanzanian...many of us believe thta good things can not hapen to us....ujinga!

MKUU NAKUUNGA MKONO, NORTH KOREA IS THE POOREST OF THEM ALL IN ASIA,BUT DATA ZINAONYESHA IS THE STRINGEST IN TERMS OF ARMY. SO UPO SAWA KABISA.
ILA ARMY SIO VIFAA BUT WILL OF PEOPLE TO FIGHT.....READ HISTORY, The Wehrmachtwas the well trained and well armed Hitler combined armed. But the will of Russian people stop them at the gate of Moscow.
In Vietnam, The Viet-Cong war just a bunch of peasant with AK-47 but stopped the might US army with well trained abd solar guided missile by that time.
 
wakati nchi zinazotuzunguka hazijapata uhuru majeshi yetu yalikuwa active kwani yalikuwa yanashiriki operation nyingi za kijeshi na hata mobutu aliondolewa na majeshi yetu lakini sasa hivi hakuna operation kubwa ambazo majeshi yetu yanashiriki ukiondoa shuguri za kulinda amani wakati uganda na kenya majeshi yao yako somalia kupambana na magaidi wa alshabab

Mkuu Al-Shabaab (magaidi) hawana jeshi per se, ni kikundi kilicho jikusanya kufanya vurugu tu. Labda nikukumbushe kitu - kwamba wanajeshi wana kanuni ya kufanya mazoezi makali ya kila mara wakati kuna amani, the idea behind ni kwamba vita vikitokea wamwage damu kidogo, kwa hiyo husije ukijidanganya kwamba kwa kuwa JWTZ hawajapigana vita kwa muda mrefu basi bila shaka watakuwa wamelala usingizi na kusahau kufanya mazoezi ya mara kwa mara - hiyo si kweli. With that sina shaka nimekijibu kijeshi, CHEERS.
 
jamani mnapoona nchi masikini msidhani na jeshi nalo masikini. Toka JK aingie madarakani kuna mavifaa ya kijeshi kanunua msimpimie.
 
Mkuu Al-Shabaab (magaidi) hawana jeshi per se, ni kikundi kilicho jikusanya kufanya vurugu tu. Labda nikukumbushe kitu - kwamba wanajeshi wana kanuni ya kufanya mazoezi makali ya kila mara wakati kuna amani, the idea behind ni kwamba vita vikitokea wamwage damu kidogo, kwa hiyo husije ukijidanganya kwamba kwa kuwa JWTZ hawajapigana vita kwa muda mrefu basi bila shaka watakuwa wamelala usingizi na kusahau kufanya mazoezi ya mara kwa mara - hiyo si kweli. With that sina shaka nimekijibu kijeshi, CHEERS.

Bado kuna tofauti kati ya Mazoezi na kuingia kabisa vitani, Ndo maana hata mchezaji Pamoja na kushiriki mazoezi kikamilifu kiwango chake hushuka kama asipopangwa first Eleven au hata Sub
 
Tafadhari,NJOO MBEYA SAHV,NA UTAZIONA HIZO NDEGE AMBAZO WEWE UNAZIITA ZA KUNYUNYUZIA PAMBA..na utagundua kua,youre the one who is kidding now..

Ungeweka japo vipicha basi mkuu. Ni pale Songwe au hapo airport Mwanjerwa?
 
Jeshi kuwa strong ni mchanganyiko wa vitu vingi. Ili jeshi lako liwe imara unatakiwa uwe mzuri kwenye strategy au stratejia kwa kiswahili. Majeshi yote mazuri duniani ni yale yenye stratejia nzuri.Si nchi kuwa tajiri pekee,au kuwa na vifaa vizjfi tu,au kuwa na population kubwa ndio mtakuwa na strong army. Kama ni hivyo,ukichukulia utajiri na population ya nchi za kiarabu,Israel ingeshafutwa duniani
 
MKUU NAKUUNGA MKONO, NORTH KOREA IS THE POOREST OF THEM ALL IN ASIA,BUT DATA ZINAONYESHA IS THE STRINGEST IN TERMS OF ARMY. SO UPO SAWA KABISA.
ILA ARMY SIO VIFAA BUT WILL OF PEOPLE TO FIGHT.....READ HISTORY, The Wehrmachtwas the well trained and well armed Hitler combined armed. But the will of Russian people stop them at the gate of Moscow.
In Vietnam, The Viet-Cong war just a bunch of peasant with AK-47 but stopped the might US army with well trained abd solar guided missile by that time.

mkuu hapo kwenye red ndo panapotuunganisha hasa......kwa East Africa Kenya wana jeshi lenye vifaa vizuri,na matumizi ya bajeti kwa jeshi lao ni makubwa (japo kwa taarifa za sasa Uganda mwaka jana wametumia pesa nyingi kununua vifaa vya kijeshi na kwa mara ya kwanza wameipita Kenya),lkn pamoja na hayo Tz ndo ina jeshi bora,tatizo hawataki kuamini kwamba hata sisi tuna mambo mazuri
 
wakati nchi zinazotuzunguka hazijapata uhuru majeshi yetu yalikuwa active kwani yalikuwa yanashiriki operation nyingi za kijeshi na hata mobutu aliondolewa na majeshi yetu lakini sasa hivi hakuna operation kubwa ambazo majeshi yetu yanashiriki ukiondoa shuguri za kulinda amani wakati uganda na kenya majeshi yao yako somalia kupambana na magaidi wa alshabab
Acha kuchekesha jamvi mkuu Kenya ina budget kubwa sana kijeshi ila sio jeshi imara kiivyo kama unavyofikiri...Kama unataka kujua uimara wa JWTZ waulize USA na CHINA na KENYA wanavyohaha kuja kufanya mazoezi ya joint ya kijeshi na JWTZ...
Kinachotupumbaza sisi ni USIRI uliopo kwenye majeshi yetu ila tuna jeshi strong kuliko unavyofikiri
 
mkuu hapo kwenye red ndo panapotuunganisha hasa......kwa East Africa Kenya wana jeshi lenye vifaa vizuri,na matumizi ya bajeti kwa jeshi lao ni makubwa (japo kwa taarifa za sasa Uganda mwaka jana wametumia pesa nyingi kununua vifaa vya kijeshi na kwa mara ya kwanza wameipita Kenya),lkn pamoja na hayo Tz ndo ina jeshi bora,tatizo hawataki kuamini kwamba hata sisi tuna mambo mazuri

Waache wajawa na siasa, hata kwenye ukweli huwa hawataki kusema kweli but wanachona ni siasa kama mgombea wao hatawali basi kila kilicho kizuri watakuambia kibaya. ila mgombea wao akipita hata kibaya kinakua kizuri. Tumeyaona haya kwa Tanesco Muhando mwizi mkubwa lakini alitetewa. TUWE NA IMANI NA NCHI YETU PALE INAPO KUWA NA SIFA ZA UKWELI NA KUACHA SIFA ZA KIJINGA, WE ARE THE BEST MKUU KENYA AND UGANDA KNOW THAT.
 
Bado kuna tofauti kati ya Mazoezi na kuingia kabisa vitani, Ndo maana hata mchezaji Pamoja na kushiriki mazoezi kikamilifu kiwango chake hushuka kama asipopangwa first Eleven au hata Sub

Mkuu unaonekana ujawahi kupitia walao JKT - Sasa swali: Hivi kuna uthibitisho gani wa kuonyesha kwamba Tanzania iliweza kuishinda Uganda kwenye medani ya vita kwa kuwa Tanzania iliwahi kupigana vita na nchi nyingine kabla?

Mazoezi counts a lot, kwenye mazoezi wana-simulate vita kamili na kuna baadhi ya wanajeshi upoteza maisha wakati wa mazoezi hayo - siyo lelemama mkuu. Nenda Kongwa kwenye kambi iliyo kuwa inatumiwa na wapigania uhuru kusini mwa Africa, jaribu kuzungumza na wenyeji au watu wa makamo wakueleze mazoezi yalikuwa ya aina gani - watakuonyesha hata makovu ya mazoezi hayo, baada ya kusimuliwa na kuonyeshwa kilicho kuwa kinaendelea sina shaka hutaendelea kubeza JWTZ.
 
How can they be good when they are poorly equipped, and BTW Egypt ana mpita South Africa tokea miaka minne ya nyuma.
Egypt Military Strength

17 @strongest military in the world

PERSONNEL
Total Population: 81,713,520 [2008]
Population Available: 41,654,185 [2008]
Fit for Military Service: 35,558,995 [2008]
Reaching Military Age Annually: 1,611,890 [2008]
Active Military Personnel: 450,000 [2008]
Active Military Reserve: 254,000 [2008]
Active Paramilitary Units: 405,000 [2008]

ARMY
Total Land-Based Weapons: 9,357
Towed Artillery: 2,393 [2001]

NAVY
Total Navy Ships: 93
Merchant Marine Strength: 67 [2008]
Major Ports and Harbors: 6
Aircraft Carriers: 0 [2008]
Destroyers: 0 [2008]
Submarines: 4 [2008]
Frigates: 12 [2008]
Patrol & Coastal Craft: 35 [2008]
Mine Warfare Craft: 13 [2008]
Amphibious Craft: 12 [2008]

AIR FORCE
Total Aircraft: 1,230 [2003]
Helicopters: 243 [2003]
Serviceable Airports: 88 [2007]

FINANCES (USD)
Defense Budget: $2,500,000,000 [2006]
Foreign Exch. & Gold: $31,370,000,000 [2007]
Purchasing Power: $405,400,000,000 [2007]

OIL
Oil Production: 665,000 bbl/day [2007]
Oil Consumption: 635,000 bbl/day [2005]
Proven Oil Reserves: 3,750,000,000 bbl [2007]

LOGISTICAL
Labor Force: 22,100,000 [2007]
Roadways: 92,370 km
Railways: 5,063 km

GEOGRAPHIC
Waterways: 3,500 km
Coastline: 2,450 km
Square Land Area: 1,001,450 km

Sources: Central Intelligence Agency

Last Updated: 2/12/2009​
South Africa Military Strength

32 @strongest military in the world

PERSONNEL
Total Population: 48,782,756 [2008]
Population Available: 23,124,044 [2008]
Fit for Military Service: 11,513,601 [2008]
Reaching Military Age Annually: 1,051,879 [2008]
Active Military Personnel: 60,000 [2008]

ARMY

NAVY
Total Navy Ships: 22
Merchant Marine Strength: 3 [2008]
Major Ports and Harbors: 5
Aircraft Carriers: 0 [2008]
Destroyers: 0 [2008]
Submarines: 3 [2008]
Frigates: 0 [2008]
Patrol & Coastal Craft: 6 [2008]
Mine Warfare Craft: 8 [2008]
Amphibious Craft: 0 [2008]

AIR FORCE
Total Aircraft: 425 [2003]
Helicopters: 132 [2003]
Serviceable Airports: 728 [2007]

FINANCES (USD)
Defense Budget: $3,700,000,000 [2007]
Foreign Exch. & Gold: $32,940,000,000 [2007]
Purchasing Power: $467,800,000,000 [2007]

OIL
Oil Production: 200,000 bbl/day [2006]
Oil Consumption: 519,000 bbl/day [2006]
Proven Oil Reserves: 15,000,000 bbl [2007]

LOGISTICAL
Labor Force: 20,490,000 [2007]
Roadways: 362,099 km
Railways: 20,872 km

GEOGRAPHIC
Waterways: 0 km
Coastline: 2,798 km
Square Land Area: 1,219,912 km

Sources: Central Intelligence Agency

Last Updated: 2/12/2009​

...Asante Mkuu. Analysis ya huyo mkuu ilipaswa kuwa na Data kama hizi na sio Hizo Hadithi Njoo!
Je Tanzania ni ya Sita:
kwa Wingi wa Wanajeshi?
Kwa Kuandaa na Kusimika Maraisi wa baadhi za Nchi za A. Mashariki na Kati?
Libya ni Ya Tatu??
Libya ya Gaddaf ama hii iliyomeguka mapande baada ya Gaddaf?
Jipange na Uje Tena Kivingine Mkuu Luggy...!
 
Labda wamechukua scenario kama kumteka na kumpiga Ulimboka,kuwafukuza waislam kule kariakoo....lakini kama unamaanisha uimara wa jeshi kwa maana ya kuikabili nchi flani......YOU MUST BE KIDDING ENTIRELY!!!
 
unajua tatizo watanzania tumekosa uzalendo kabisaaa...jeshi la tanzania bado lipo juu sana ..au mmesahau chuo cha kijeshi kilichofunguliwa ambacho nchi mbalimbali wanakuja pata uauzi na jinsi tulivyoweza mtoa yule kiongozi madagascar huko
 
Siasa tu zile mkuu...bado tu goigoi!!
 
Waache wajawa na siasa, hata kwenye ukweli huwa hawataki kusema kweli but wanachona ni siasa kama mgombea wao hatawali basi kila kilicho kizuri watakuambia kibaya. ila mgombea wao akipita hata kibaya kinakua kizuri. Tumeyaona haya kwa Tanesco Muhando mwizi mkubwa lakini alitetewa. TUWE NA IMANI NA NCHI YETU PALE INAPO KUWA NA SIFA ZA UKWELI NA KUACHA SIFA ZA KIJINGA, WE ARE THE BEST MKUU KENYA AND UGANDA KNOW THAT.

Well said mkuu, nimekwisha gundua kwamba baadhi ya Watanzania wanao beza kila kitu cha Serikali ya awamu ya nne wanasukumwa zaidi na mambo ya partisian kuliko ukweli wa hali alisi ya TAIFA letu - Defencewise that is!! Kila kitu katika Serikali ya JK kwao wanakiona kiko highly flawed!!!!

Chukulia mfano wa hawa wanao beza jeshi letu, wala hawajuhi kwamba uzoefu wa muda mrefu kwenye medani ya vita na mazoezi makali ya mara kwa mara imelifanya jeshi letu lijijengee COMBAT DOCTRINE mahili barani AFRICA.
 
Back
Top Bottom