Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 1,914
- 6,033
England haijawahi kuwa na wachezaji kama taofa, ni porojo tu kama mpira wa bongo!
Worry out brother! Kuna bahati iko mbele inakuja. Tuko pep kwenye EPL!Hii ndio timu ya Taifa ukiachilia ya Tanzania ndio ninayo ishabikia kiukweli huwa nakosa la kuandika ukitizama hata kile kilichokuja south Africa kilikuwa kikosi kizuri tu pale kati lampard gerard rooney terry Cole yaani unaona kabisa kinaweza kuchagama na timu na kupata matokeo lakini wapi
Lakini sio kila siku ni IjumaaWorry out brother! Kuna bahati iko mbele inakuja. Tuko pep kwenye EPL!
Unakumbuka 2010 Pep alipokuwa barca na barca kuchukua ubingwa Spain aliliitwa kule bondeni, na hata 2014 alipokuwa na Bayern we saw the same.
Sasa hata sasa hivi City akichukua ubingwa tusibiri neema ikija England....!!!
Na iwe hivyo kiukweli huwa sipapasi (mdomo )vidole kuiongelea the three lions ndio mahaba yangu yaliyo na kipendacho roho unajua tena.Worry out brother! Kuna bahati iko mbele inakuja. Tuko pep kwenye EPL!
Unakumbuka 2010 Pep alipokuwa barca na barca kuchukua ubingwa Spain aliliitwa kule bondeni, na hata 2014 alipokuwa na Bayern we saw the same.
Sasa hata sasa hivi City akichukua ubingwa tusibiri neema ikija England....!!!
Maneno gani tena haya mzee mwenzangu?Lakini sio kila siku ni Ijumaa
Hii ndio timu ya Taifa ukiachilia ya Tanzania ndio ninayo ishabikia kiukweli huwa nakosa la kuandika ukitizama hata kile kilichokuja south Africa kilikuwa kikosi kizuri tu pale kati lampard gerard rooney terry Cole yaani unaona kabisa kinaweza kuchagama na timu na kupata matokeo lakini wapi
Kikosi cha England ( The three lions ) kilichoshiriki Euro 2004 nchini Ureno, kikiwa na mastaa ambao waliunda sehemu ya kizazi cha dhahabu cha Waingereza kuanzia mwaka 2004 mpaka 2012. Ni wachezaji ambao walikuwa na vipaji vya hali juu kwa ngazi ya klabu lakini walishindwa ktwaa taji lolote wakiwa na timu yao ya taifa. Nini kiliwafelisha Waingereza?
kweli Dele Alli awape England kombe la DuniaManeno gani tena haya mzee mwenzangu?
England timu yao ya vijana ni tishio sana ulaya na dunia nzima kwa ujumla! Na ndio watakao kuja kutawala mpira miaka miwili ijayo!!Wakati huo huo angalia hapa kikosi cha Germany kilichowatoa England huko south Africa.
01 Neuer
03 Friedrich
16 Lahm Captain
17 Mertesacker
20 Boateng
06 Khedira
07 Schweinsteiger
08 Ozil (Kiessling, 83)
10 Podolski
11 Klose (Gomez, 72)
13 Muller (Trochowski, 72)
England timu yao ya vijana ni tishio sana ulaya na dunia nzima kwa ujumla! Na ndio watakao kuja kutawala mpira miaka miwili ijayo!!
Scholes, Lampard, Gerrard, Terry, na wengineo walikuwa na uwezo mkubwa na katika ubora wao wangeweza kucheza kwenye klabu yoyote ile Kubwa dunianiUnaweza ku'mdefine' vp mchezaji mwenye kipaji?!
Kwanini unafikiri ni kizazi cha'dhahabu' cha waingereza na sio propaganda zao kutaka kutuaminisha kuwa wao ndo wenye wachezaji bora?!
upo sahihiHiyo sahau , fuatilia vizuri history ya mjerumani , angalia kikosi chao kilichobeba conf cup wakiwapiga chile ya kina sanchez final. Angalia wafaransa pia kina mbape , dembele pogba wote bado wadogo wale . England hana chake mkuu
Scholes, Lampard, Gerrard, Terry, na wengineo walikuwa na uwezo mkubwa na katika ubora wao wangeweza kucheza kwenye klabu yoyote ile Kubwa duniani
Yaah panapo uhai kuna mfumo lango la kusini (southgate)linautengeneza twaweza kufika mbali panapo majaaliwa usitukatie tamaakweli Dele Alli awape England kombe la Dunia
Waungwana hilo hawalioni kabisa yenyewe wanatuhukumu kwa matukio yalopitaEngland timu yao ya vijana ni tishio sana ulaya na dunia nzima kwa ujumla! Na ndio watakao kuja kutawala mpira miaka miwili ijayo!!
Ubishi ni kipaji chako.Kuwa na uwezo mkubwa ndo maana halisi ya'kipaji’? Na je vipi wale ambao wanauwezo wa katikati unawahesabu kama wasio na 'kipaji'?!
Nafikiri bado hujalijibu swali langu.
Hata Spain pia wana timu nzuri sana ya vijana tena pengine wao wana talents Kali kuliko hao ujerumani lakini nimewataja England kuwa wao ndio timu tishio hapo baadae! Kwanini?Hiyo sahau , fuatilia vizuri history ya mjerumani , angalia kikosi chao kilichobeba conf cup wakiwapiga chile ya kina sanchez final. Angalia wafaransa pia kina mbape , dembele pogba wote bado wadogo wale . England hana chake mkuu