the teh teh hawajasahau

the teh teh hawajasahau

hahahahaha...hii imekaa vizuri....mbavu zetuuuuu
Bi Mkubwa alikuwa anahisi Mumewe anatoka na Housegal as kila siku 9t mumewe ufungua mlango taratibu afu anatoka chumbani, so mama akaamua kuweka mtego! Siku ya siku ile Mshua katoka tu 9t, maza kaamka fasta kaenda kwa housegal kamwambia ajifiche uvunguni afu ye akajilaza kwa kitanda kajifunika shuka taa imezimwa! Jamaa kama kawa kaingia ndani taratibu, kafanya mambo yake fasta fasta alivyomaliza maza kawasha taa ili ampe makavu kwa tabia yake mbovu ya kumdhalilisha kwa kutembea na housegal! Kuwasha taa duh! Maza bado nusu azirai! Kumbe ni Houseboy banah! Ha! Ha! Ha! Huku nje anackia mumewe anamtafuta!
 
duuuh! its so funny men
Mshabiki wa Man U alichelewa kuamka leo.. Ilipofika saa moja ahsubuhi, mke wake akawa anamuamsha "wake up honey, it's 7!" Jamaa kakurupuka na presha anamuuliza mkewe "Uwii!.. wameongezaa tena!!!...
 
Tena wana bahati siku ile Man u walienda kwa mganga la sivyo ingekuwa 80-0
 
Back
Top Bottom