the teh teh hawajasahau

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Mshabiki wa Man U alichelewa kuamka leo.. Ilipofika saa moja ahsubuhi, mke wake akawa anamuamsha "wake up honey, it's 7!" Jamaa kakurupuka na presha anamuuliza mkewe "Uwii!.. wameongezaa tena!!!...
 
Wanaume wa3 walifikishwa kortini kwa kosa la kubaka.Hakimu alimuuliza kila mmoja anafanya kazi gani ili ahukumu ipasavyo.
Mshtakiwa wa kwanza alisema yeye ni seremala,na hakimu akaamuru akatwe uume kwa msumeno.
Mshtakiwa wa pili alisema yeye ni muuza nyama buchani,na hakimu akaamuru uume ukatwe kwa panga.
Mshtakiwa wa tatu alipoulizwa kazi yake,alianza kuangua vicheko kizimbani.Alipoulizwa kitu gani kimemfanya acheke,ndipo alijibu..
"mimi nauza lambalamba na ice cream ,Je?nitanyonywa uume mpaka uishe?
 
mwalimu wa shule ya msingi alikua anafundisha darasani akajamba na siku iyo ilikua ya mwisho wakafunga shule walipofungua akauliza tuliishia wapi wanafunzi .......watoto wakamjibu pale ulipojamba mwalimu.....mwalimu akaacha kazi
 
Bi Mkubwa alikuwa anahisi Mumewe anatoka na Housegal as kila siku 9t mumewe ufungua mlango taratibu afu anatoka chumbani, so mama akaamua kuweka mtego! Siku ya siku ile Mshua katoka tu 9t, maza kaamka fasta kaenda kwa housegal kamwambia ajifiche uvunguni afu ye akajilaza kwa kitanda kajifunika shuka taa imezimwa! Jamaa kama kawa kaingia ndani taratibu, kafanya mambo yake fasta fasta alivyomaliza maza kawasha taa ili ampe makavu kwa tabia yake mbovu ya kumdhalilisha kwa kutembea na housegal! Kuwasha taa duh! Maza bado nusu azirai! Kumbe ni Houseboy banah! Ha! Ha! Ha! Huku nje anackia mumewe anamtafuta!
 
Mateja wakipiga story.
Mteja 1..................mwanangu mi leo usiku nilikuwa naota nakula mkate kuamka kumbe nimekula godoro.
Mteja 2..................mwana heri wewe mi niliota nimefariki na nikafika mbinguni,Mungu akatuamrisha kila mtu aandike
makosa yake kwenye karatasi,baada ya dk 10 nikamsikia mshikaji mwingine akisema ''another paper please''
 
hehehehehe kama ni mimi nahama shule
 
hhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa alijutajeeeeeeeeeeeee
 
Mateja wakipiga story.
Mteja 1..................mwanangu mi leo usiku nilikuwa naota nakula mkate kuamka kumbe nimekula godoro.
Mteja 2..................mwana heri wewe mi niliota nimefariki na nikafika mbinguni,Mungu akatuamrisha kila mtu aandike
makosa yake kwenye karatasi,baada ya dk 10 nikamsikia mshikaji mwingine akisema ''another paper please''
ina mana yy yuko na makosa kibao loh!
 
huyo mama na house boy, baada ya kujua atakuwa alijiona mdogo kama kifungo.
 
Mshabiki wa Man U alichelewa kuamka leo.. Ilipofika saa moja ahsubuhi, mke wake akawa anamuamsha "wake up honey, it's 7!" Jamaa kakurupuka na presha anamuuliza mkewe "Uwii!.. wameongezaa tena!!!...

Hii nimeipenda mkuu, thanks
 
Back
Top Bottom