The Swedish Institute Study Scholarships for Academic year 2013-2014

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,347
2,000
Mkuu Vitendo, mbona kama naona contradiction kidogo hapo kwenye RED...ama ni kidhungu kimenpiga chenga!??

[h=2]The Swedish Institute Study Scholarships[/h] The Swedish Institute Study Scholarships target highly-qualified students from the countries listed below. The scholarships will be awarded for studies in Sweden, starting in August 2013 and covers both living costs and tuition fees.

The online application form for the academic year 2013/2014 will be open between February 1-11, 2013. No scholarships are offered for the spring 2013 application round.
 
Last edited by a moderator:

Vitendo

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
577
225
Mkuu Vitendo, mbona kama naona contradiction kidogo hapo kwenye RED...ama ni kidhungu kimenpiga chenga!??

The Swedish Institute Study Scholarships

The Swedish Institute Study Scholarships target highly-qualified students from the countries listed below. The scholarships will be awarded for studies in Sweden, starting in August 2013 and covers both living costs and tuition fees.

The online application form for the academic year 2013/2014 will be open between February 1-11, 2013. No scholarships are offered for the spring 2013 application round.
Uko sawa mkuu ni kweli Scholarships application for August(Autumn) zitaanza muda huo wa february ila ili ufanye application ya scholarship inabidi uwe umeshapata admission offer...ukisoma hadi mwisho utapata picha halisi.
 
Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,347
2,000
Uko sawa mkuu ni kweli Scholarships application for August(Autumn) zitaanza muda huo wa february ila ili ufanye application ya scholarship inabidi uwe umeshapata admission offer...ukisoma hadi mwisho utapata picha halisi.

Nimesoma nimeingia sasa hapo kwenye kuchagua vyuo ndo balaa...complicated..am still getting used to it nione!!!

Af upo USA nini maana umerefer Autumn in August...!!!!
 
Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,347
2,000
Apply for to get admission,after getting admission then you can apply for Scholarship...follow that link,you will understand whole process.

System ya Sweden ni ngumuuuu!
Bt i like it still...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom