Aqua
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 1,657
- 1,237
Habari wadau,
samahani kuna mtu namtengenezea website ila anahitaji iwe katika kiswahili.Sasa kuna baadhi ya maneno naomba uhakika au msaada niyaandike vipi.Nimejaribu kufanya uatafiti baadhi yake nimepata,naomba mnishauri kwa yale yaliyo sahihi na kwa yale ambayo sijapata au mnaona yamekaa vibaya naombeni kufahamishwa.Nitashukuru nikipata msaada kutoka kwa "web developers"
1.Home-mwanzo/maskani
2.Contact us-wasiliana nasi
3.Our Services-huduma zetu
4.Downloads-?
5.Mission-?
6.Vision-?
7.About us-kuhusu sisi
8.Photogallery-?
Regards