The Suite at Burj Al Arab - Dubai

The Suite at Burj Al Arab - Dubai

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,926
The suite measures 780 square meters.

It's extremely colourful, bright and certainly fit for a king.

The suite takes up two floors.

As you enter via your own private elevator, you're greeted with an impressive gold and marble stairway.

Huge pillars are covered in 22-karat gold and you really feel like a star.

The suite has it's own stairway, private dining area - complete with a butler - and a comfy Arabic-style lounge.

The top level of the massive suite is divided into two sections - one to suit a man's taste, and the other for a woman's, where bright pink, yellow and orange colours abound.

There's also a private library.

There are three bathrooms With a spa bath, marble and gold features.

You also get Hermes fragrances and body products.

Oh, and you get your own private cinema.

Price per night? US$18500!

source: news.com.au
(edited)

ImageUploadedByJamiiForums1435647779.049769.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1435647858.405183.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1435647893.534572.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1435647916.004797.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1435647966.181074.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1435647998.400059.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1435648010.147185.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1435648023.663616.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1435648261.197273.jpg
 
aisee najipanga japo nifike dubai disemba hii je kuna gesti za bei nafuu mwenye kujua?
 
Hahahahaaa yaani unaweza kaa humo masaa 24, na usifaidi kila kitu.
 
Hata ukifanya booking utawekwa kwenye waiting list ndefu, pamoja na gharama kubwa za kulala kwenye hiyo suite kwa siku lakini demand yake ni kubwa sana kutoka kwa wateja mbali mbali duniani.

Na si ajabu usipofanya booking hupati room!
 
aisee najipanga japo nifike dubai disemba hii je kuna gesti za bei nafuu mwenye kujua?

Mkuu secrete.

www.agoda.com


Tumia hotel booking hii. Hata kama hutanunua chumba kwa credit card, utaweza kuona hoteli mbalimbali, bei zake na anuani pamoja na sifa (reviews) zilizoandikwa na wageni waliokaa hapo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu secrete.

www.agoda.com


Tumia hotel booking hii. Hata kama hutanunua chumba kwa credit card, utaweza kuona hoteli mbalimbali, bei zake na anuani pamoja na sifa (reviews) zilizoandikwa na wageni waliokaa hapo.

Mimi natumia trip advisor au hotel club kujua rates za eneo ninaloenda.
 
Last edited by a moderator:
Hotel za bei poa zipo pale soko la dhahabu gold souk
Kuna moja inatwa "gold plaza "
Pale ndio waswahili hufikia hata ukitaka mtu wa kukupeleka shopping unampata hapo kwa ujira wa dola mia hadi utakapomaliza unachokiitaji
 
Kigali Fikia FIVE in FIVE HOTEL bei chee halafu mtafute Mathias +250 788 433383 akutafutie Mademu wa maana japo ni bei ghali kiaina Usiku Mzima ni 100 USD
 
To be honest im nt wowed with the decorations et.al!the only thing i would kill for is that impacable view...amazingly beautiful!!

I agree gorgeousmimi.

They better have a good view for the price they charge for the suite!

Magoldi goldi ni style yao ya Umangani. Mimi napenda ya Mediterranean.

ImageUploadedByJamiiForums1436796019.955619.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1436796034.357682.jpg
 
Last edited by a moderator:
Kinachonifurahisha kwenye hii hoteli ni kwamba ilifunguliwa 1999 lakini mpaka leo ipo kwenye chati sana,nilikwenda siku moja kufanya training nikaona kinywaji Chateau Petrus ya mwaka 1982(you can google) inauzwa $6500 na watu wanakunywa !!hapo pichani juu unaona kitu kama ungo sio ungo ni Helipad (kiwanja kwa ajiri ya helicopter )watu wenye pesa uwa wanatua na helicopter juu kisha wanaingia chumbani,mpaka leo bado ipo kwenye top 3 most expensive hotels in Uae.Wakati inajengwa wakiwa wameweka msingi ulisombwa na maji lakini sasa wameweka vifaa maalumu ambavyo vinameza mawimbi !!!siku hizi asilimia kubwa ya wageni pale ni Wanigeria hivyo ukiwa ni black na ukapita hapo getini wafanyakazi watakupa heshima sana..Machangudoa wanakwenda kujiuza hapo wakiendesha Ferrari! !!!Dubai.....
 

Attachments

  • 1436796235499.jpg
    1436796235499.jpg
    20.1 KB · Views: 219
Kuna watu wanaishi na wengine twasindikiza.
Yaani mshahara wa mwalimu wa miaka 6 ndo mtu anautumia kwa siku moja daaaaah
( nimechukulia mwalimu anaekipwa 500,000 kwa mwezi)
 
It's all about good management Mkuu lucky sabasaba. Wafanyakazi wanaheshimu kazi zao.

Bei za hoteli hii ni za kitalii na kwa ajili ya middle-class na kuendelea, sishangai bei ya mvinyo huo kuwa hivo.

Tanzania hatujafikia hatua ya kuuza mvinyo bei hiyo lakini tunaelekea huko.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wanaishi na wengine twasindikiza.
Yaani mshahara wa mwalimu wa miaka 6 ndo mtu anautumia kwa siku moja daaaaah
( nimechukulia mwalimu anaekipwa 500,000 kwa mwezi)
mkuu sisi kwa imani yetu tunaamini watenda mema watakenda mbinguni ila kati
yetu kuna watu watafika wakiwa hoi sanaa na wengine watafika wakiwa poa tu
ni kama watakuwa wamebadili mazingira tu na kutokufa na kutokuwepo magonjwa
 
mkuu sisi kwa imani yetu tunaamini watenda mema watakenda mbinguni ila kati
yetu kuna watu watafika wakiwa hoi sanaa na wengine watafika wakiwa poa tu
ni kama watakuwa wamebadili mazingira tu na kutokufa na kutokuwepo magonjwa

Wengine wanajali starehe ya dunia zaidi. Siyo wote wanajali au kuamini "life after death" na ubepari hauna limit.

Pengine utaona bei kubwa mwingine analipwa kiasi hicho kwa siku au kwa dakika, yeye anatumia tu. Tomorrow may never come.

Each to their own.
 
I agree gorgeousmimi.

They better have a good view for the price they charge for the suite!

Magoldi goldi ni style yao ya Umang'ani. Mimi napenda ya Mediterranean.

View attachment 267775

View attachment 267776

Yah too much red and gold mpaka imekaa kishamba mapambo ka mti wa xmas...hio uloweka we so much better with brighter colours they have some modern class na hazikinaishi na kupitwa na wakati!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom