The Suite at Burj Al Arab - Dubai

The Suite at Burj Al Arab - Dubai

Wengine wanajali starehe ya dunia zaidi. Siyo wote wanajali au kuamini "life after death" na ubepari hauna limit.

Pengine utaona bei kubwa mwingine analipwa kiasi hicho kwa siku au kwa dakika, yeye anatumia tu. Tomorrow may never come.

Each to their own.

Maisha yenye mafupi haya, huwezi jua kesho. I'm just living anyway.
We all live once. No regrets.
 
Rwandair wana offer za kwenda Dubai kupitia kigali tuchangamkie deal hii

Emirates au Oman Air. Unasafiri kwa uhakika na package zao Rwandair hawawezi kushindana nazo. Angalia website zao utaona.
 
Emirates si maumivu mkuu kwa sisi wenye pesa za mawazo si bora useme flydubai?
 
nimepata safari ya kikazi tarehe 25.7 naenda Dubai nakaa siku 14 daah nitafaidije? mi-Per Diem ya kumwaga japo nasikia kupata mlupo bei ghali sana. Wajuvi wa dubai kama naweza kupata bei nafuu angalau 100 USD nitashukuru
 
nimepata safari ya kikazi tarehe 25.7 naenda Dubai nakaa siku 14 daah nitafaidije? mi-Per Diem ya kumwaga japo nasikia kupata mlupo bei ghali sana. Wajuvi wa dubai kama naweza kupata bei nafuu angalau 100 USD nitashukuru

Kuna mtu aliandika hoteli za souk (gold market) area. Pale ni rahisi na safi under $100. Wafanyabiashara wengi wa Bongo wanafika hapo.

Vyakula Dubai ni rahisi. Huwezi kumaliza $50 kwa siku. Ukitaka vya TZ, uliza reception. Kuna wapishi watakuletea hotelini.

Hizi ni hoteli chini ya $100 kwa siku hapo Souk.

1. Gold Plaza Guest House
2. Deira Palace Hotel
3. Ahmedia Heritage Guest House
4. Florida international Hotel
5. Dubai Nova Hotel

Kama una credit card, ni rahisi zaidi kununua katika mtandao.

Kama huna, Ongea na receptionist ukifika, wanaweza kukupunguzia kama unakaa siku nyingi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom