The struggle of being a millennial

Mwache afe na stress zake wewe muunge mkono
Akikukubalia wewe ataiaishi kwa stress zaidi. Muogope mtu ambaye anaingia kwenye mahusiano na wewe akiwa na mawazo kuwa anakufanyia hisani
 
Kwanini nikifungua videos jf hazitoi sauti? what the heck is going on here fill me in......👂
Pole jamani, kifupi tunaongelea changamoto za millennials hasa wanawake katika kubalance 'uzamani' na 'usasa' maana wamejikuta wapo katikati. Uzamani unawadai lakini pia wanatakiwa kuendana na hali ya ulimwengu wa sasa kiuchumi, kijamii n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…