My super ex gelofurendi.....miss u
Usiwe unanambia hapa bana nambie kwa PM una madem wengi mi sipendi ugomvi!!!!!!!!
Hivi hata nikikufanyaga huwa unaenda kumwambia mumeo!
The secretary umeyasikia haha? Mi chichemi kitu,I am too hurt
kaaaaazi kweli kweli .....kumbe ma Evelyn Salt alishaunga tela.....aisee
we Vin Diesel we endelea tu kuwapanga mwisho wake utaujua soon
Rutta ni ndugu yangu,namaind akiumizwa.
Si ndio nasema ukweli!
Birds of the same feather......ndo mana Asprin ni swahiba wako.
wadanganye tu....