Niko samanga naelekea nanjinjiri kwa mzee wa busara,subiria muziki, The secretary atarudi kwangu anatambaa.
Unajua tabia za fisi maji?
Shem kwa kuloga hujambo,niletee na dawa ya kuzidi kumkamata loya basiNiko samanga naelekea nanjinjiri kwa mzee wa busara,subiria muziki, The secretary atarudi kwangu anatambaa.
Shem kwa kuloga hujambo,niletee na dawa ya kuzidi kumkamata loya basi
thn ukija nakutoa kimtindo
Yapi?
Kopi: Mamndenyi ( i told you)
Mmmmhhhhh bishanga wonders.
Humpendi ndugu yangu rutta bana,una m cheat na watoto wa mjini kina Vin Diesel,utakuja lia lakini ujue.
Shem chonde nampenda loya wangu na sijawai mcheat na mtu
Vin D anataka kunivunjia ndoa makusudi nisaidie!
Namtafuta Evelyn Salt popote alipo
leo unanikana?
umesahau tulipotoka?
Akhaaa!mi hata sikujui
@ Bishanga njoo huku
Kulikoni shemeji ni nini kwani!!!!!!!!!!
Makubwa haya....ngoja nikaku quote nilete ushahidi hadharani....
My super ex gelofurendi.....miss u
Mwenzio nazuga,tukutane chimbo tuongee!
Usiwe unanambia hapa bana nambie kwa PM una madem wengi mi sipendi ugomvi!!!!!!!!