britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Sawa mjanja unayeshabikia yanayofanywa na Mbowe huko CHADEMA. GeniusSio mfuasi wa Mbowe, hakuna mwenye akili timamu atakayeshabikia yanafanyika Tz kupitia ccm, labda wachache wanaofaidika moja kwa moja na hali kama wabunge, mawaziri, nk
Uber......Closed.
Standard Chartered ....... Closed.
Rais Samia ana mwaka mmoja tu.Miradi......hakuna uliokamilika.
Lini biashara hazikuwahi kupanda Bei?Bidhaa....... Bei zimepanda.
Weee ndio unahudumiwa vibaya.Huduma..... Mbovu.
Aisee, unamjua FISADI PAPA GWIJI Magufuli?Ubadhirifu..... Umerejea.
Hata watoto wako hawana nidhamu.Nidhamu...... Hakuna tena.
You may call that success.
Huyu ni msukuma achana nayeKwamba biashara ikifungwa na wenyewe wahusika, lazima serikali ndio itakuwa imesababisha??
Benki za Biashara Tanzania zinaogelea kwenye faida. Je, nini kimefanyika awamu ya sita?
Wachumi mtusaidie hili, Hivi mabenki yetu ya biashara kupata faida ya TZS 471B kwa miezi tisa tu,Wakati huko nyuma yalipata TZS 286B kwa mwaka ina maana gani kwa Uchumi wa nchi yetu?Je! ni Vyuma kulegea? Mtakumbuka kwa mara ya mwisho hapa Tanzania mabenki yetu ya biashara kurekodi faida ya...www.jamiiforums.com
Rais Samia ana mwaka mmoja tu.
Kibwengo Magu, kwenye utawala wake wa miaka 6 alikamilisha miradi ipi ukiachilia maiti za kwenye viroba?
Lini biashara hazikuwahi kupanda Bei?
Halafu, bidhaa zinapandaje dunia nzima halafu Tz zisipande?
Weee ndio unahudumiwa vibaya.
Aisee, unamjua FISADI PAPA GWIJI Magufuli?
Hata watoto wako hawana nidhamu.
Njaa ITAKUUA mwaka huu.
Na bado
View attachment 2188553
Mtasemaje sasa baada ya kiruhusiwa kula kwa urefu wa kamba zenu na mmeshiba asaliSAMIA may not always have been the most popular Tz politician,but she always maintained high public trust. Many features give political leaders legitimacy in citizens' eyes: competence, care, trustworthiness. Academic research and opinion polls show that SAMIA has always scored very highly on all of these traits.
The Trends in society and internationally shows how @SuluhuSamia fits the profile of a rock-solid leader. Leaders of such calibre carry out their functions over time while maintaining high expectations to the society over 80% of hope.This type of leader is historically rare.
The stature of most political leaders declines after a first honeymoon period (100days).
This is because of
Maintaining her standing for this long is astonishing, especially given the major crises Samia has faced. These include the Ex government workers’ negligence . Most of them didn’t show corporation when she became President, even the state spokes man Gerson Msigwa was sometimes forgetting in reporting Samia Issues because in his mind had memories of Ex President The late Magufuli. But The way she (Samia)did government reshuffle was (is) of avoiding switching cost …
To re install democracy, as she succeeded the post of presidency to the country which was without democratic leadership,though she was VP, but most of authorities and their chiefs were (had) with principal that death,kidnapping,torture and shooting are solution to all problems, Now we see this fading out absolutely.
Another problem she faced is to make Tanzanians aware that they were brainwashed in many things by MUTUKUFU . These was about COVID 19 Issues, TRA collections and the C.A.G reports on losses we incurred in different areas though some other goatheaded Tanzanians not yet ready to accept this.
Apart from that she continues with infrastructures’ building by using legal money either by borrowing or tax collection (no plea bargain money through kidnapping) the sense of Uhujumu Uchumi not involved there .
Measures she pursued during these crises, stirred considerable controversy. But rather than depleting her capital, the financial crisis and the pandemic seemed to bolster her success.
No matter what you think of President Samia, please let us treat her with the respect the office demands and our sense of decency as Tanzania citizens informs. Love or hate her, President Samia is and will be the president of us all until takes office. Decency and respect that is what is needed from all of us these days.
Britanicca
Hakuna msukuma mpumbavu Kama huyuHuyu ni msukuma achana naye
Kuhusu ubadhirifu, bado CAG hajamkagua. Matumizi ya 2020/2021 yalikuwa mtangulizi wake!Uber......Closed.
Standard Chartered ....... Closed.
Miradi......hakuna uliokamilika.
Bidhaa....... Bei zimepanda.
Huduma..... Mbovu.
Ubadhirifu..... Umerejea.
Nidhamu...... Hakuna tena.
You may call that success.
Wapambe wa kibwengo wanasumbua sana.Kwamba biashara ikifungwa na wenyewe wahusika, lazima serikali ndio itakuwa imesababisha??
Benki za Biashara Tanzania zinaogelea kwenye faida. Je, nini kimefanyika awamu ya sita?
Wachumi mtusaidie hili, Hivi mabenki yetu ya biashara kupata faida ya TZS 471B kwa miezi tisa tu,Wakati huko nyuma yalipata TZS 286B kwa mwaka ina maana gani kwa Uchumi wa nchi yetu?Je! ni Vyuma kulegea? Mtakumbuka kwa mara ya mwisho hapa Tanzania mabenki yetu ya biashara kurekodi faida ya...www.jamiiforums.com
Rais Samia ana mwaka mmoja tu.
Kibwengo Magu, kwenye utawala wake wa miaka 6 alikamilisha miradi ipi ukiachilia maiti za kwenye viroba?
Lini biashara hazikuwahi kupanda Bei?
Halafu, bidhaa zinapandaje dunia nzima halafu Tz zisipande?
Weee ndio unahudumiwa vibaya.
Aisee, unamjua FISADI PAPA GWIJI Magufuli?
Hata watoto wako hawana nidhamu.
Njaa ITAKUUA mwaka huu.
Na bado
View attachment 2188553
Naunga mkono hoja, kiukweli kabisa huyu Mama Samia...SAMIA may not always have been the most popular Tz politician,but she always maintained high public trust. Many features give political leaders legitimacy in citizens' eyes: competence, care, trustworthiness. Academic research and opinion polls show that SAMIA has always scored very highly on all of these traits.
No matter what you think of President Samia, please let us treat her with the respect the office demands and our sense of decency as Tanzania citizens informs. Love or hate her, President Samia is and will be the president of us all until takes office. Decency and respect that is what is needed from all of us these days.
Britanicca
Kama unasubiri mapambio endelea kusubiri ila huyu jama tayari kawa compromised hata kuja na jambo lolote lenye maana to be honest.Kuhusu ubadhirifu, bado CAG hajamkagua. Matumizi ya 2020/2021 yalikuwa mtangulizi wake!
Mama ana weza kazi sanaNaunga mkono hoja, kiukweli kabisa huyu Mama Samia...
Basi tuu!, I was never wrong niliposema haya kumhusu Samia
Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
Wanabodi, Leo asubuhi nimeangalia kipindi cha mahojiano ya Makamo wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzia Siku ya Wanawake Duniani kwenye TBC akihojiwa na Shabani Kissu. Kwa Waliosikiliza kipindi hiki, kiukweli huyu ni mwanamke wa kupigiwa mfano, mtanisamehe sina maneno ya Kiswahili ya...www.jamiiforums.com P"Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Wanabodi, Niko kwenye voluntariy lockdown, hivyo leo nimepata fursa ya kuangalia TV ya Zanzibar, ZBC, Mwandishi wa habari wa CCM Zanzibar, Daudi Ismail anamhoji Makamo wa Rais wa JMT, Mhe. Samia Suluhu Hassan anauzungumzia Muungano, kiukweli huyu Mama Samia anauzumguza vizuri muungano huku...www.jamiiforums.com
Are you serious!!!! Extraordinary success!!!!! Really!!!!SAMIA may not always have been the most popular Tz politician,but she always maintained high public trust. Many features give political leaders legitimacy in citizens' eyes: competence, care, trustworthiness. Academic research and opinion polls show that SAMIA has always scored very highly on all of these traits.
The Trends in society and internationally shows how @SuluhuSamia fits the profile of a rock-solid leader. Leaders of such calibre carry out their functions over time while maintaining high expectations to the society over 80% of hope.This type of leader is historically rare.
The stature of most political leaders declines after a first honeymoon period (100days).
This is because of
Maintaining her standing for this long is astonishing, especially given the major crises Samia has faced. These include the Ex government workers’ negligence . Most of them didn’t show corporation when she became President, even the state spokes man Gerson Msigwa was sometimes forgetting in reporting Samia Issues because in his mind had memories of Ex President The late Magufuli. But The way she (Samia)did government reshuffle was (is) of avoiding switching cost …
To re install democracy, as she succeeded the post of presidency to the country which was without democratic leadership,though she was VP, but most of authorities and their chiefs were (had) with principal that death,kidnapping,torture and shooting are solution to all problems, Now we see this fading out absolutely.
Another problem she faced is to make Tanzanians aware that they were brainwashed in many things by MUTUKUFU . These was about COVID 19 Issues, TRA collections and the C.A.G reports on losses we incurred in different areas though some other goatheaded Tanzanians not yet ready to accept this.
Apart from that she continues with infrastructures’ building by using legal money either by borrowing or tax collection (no plea bargain money through kidnapping) the sense of Uhujumu Uchumi not involved there .
Measures she pursued during these crises, stirred considerable controversy. But rather than depleting her capital, the financial crisis and the pandemic seemed to bolster her success.
No matter what you think of President Samia, please let us treat her with the respect the office demands and our sense of decency as Tanzania citizens informs. Love or hate her, President Samia is and will be the president of us all until takes office. Decency and respect that is what is needed from all of us these days.
Britanicca
Kuwa msukuma ni kosa ?....acha kuendekeza Ukabila bhana...Huyu ni msukuma achana naye
Atakuwa sio Msukuma original, huyu atakuwa ni impostor tuu ana pose kama Msukuma lakini sio!, ni kama naniliu wetu yule nanii!.Huyu ni msukuma achana naye
KattoAtakuwa sio Msukuma original, huyu atakuwa ni impostor tuu ana pose kama Msukuma lakini sio!, ni kama naniliu wetu yule nanii!.
P
Ma GT hawataji majina!.Katto
Haha sawa MkuuMa GT hawataji majina!.
P