The secret of number 333! A making of 264...!!

The secret of number 333! A making of 264...!!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,139
Reaction score
871,458
Nirudie tu kusema tena kwamba ulimwengu wa roho ndio unaendesha hii dunia... Teknolojia na uvumbuzi wake wote.. Sayansi na formula zake zote.... Mwisho wa siku ili kupata matokeo tarajiwa vinahitaji nishati (energy) na hii energy ndio roho... Mwanasayansi atakupa definitions, calculations na formula zake zote lakini itakapofika kwenye energy hatakupa jibu lingine zaidi ya energy can neither be created no destroyed... Energy is power that cannot be seen touched or smell.. Energy cannot be transformed in any other creativity
Dunia ya ulimwengu tunaoishi kila kitu kina formula zake na ukumbuke sio hizi formula za kibinadamu zinazotungwa kukidhi mahitaji ya watu fulani.. Hizi ni formula za kiasili na ndio zinaendesha dunia
Namba 33 ni namba ya ukamilifu kiimani na inatumiwa na dini karibia zote
. Hinduism
. Judaism
. Budhisim
. Taoism
. Islam
. Christianity etc
Ukamilifu wa namba 33 unatokana na namba tatu...
Utatu wa kimungu
Utatu katika namba za ushindi
Mitume watatu nk nk
Namba 33 huweza kunyumbulishwa kwa 33 66 99 etc
Kuna mahusiano ya no 33
Kijografia
Kiimani
Kisayansi
Kibailogia
Kimahesabu nk
Kwa mfano kiimani dini kuu za dunia ziko 33
33 kiimani pia zinajulikana kama master numbers.. Refer Christ consciousness
Hexagon na Solomon seals ina mikunjo 33
Kitabu cha mwanzo kwenye Biblia takatifu English version Mungu katajwa mara 33
Umri wa Yesu ulikuwa miaka 33
Joseph alimwoa bikira Maria katika umri wa miaka 33
Na kule kwenye mnara wa Kabalah kuna elements 33
Biblia takatifu iliandikwa na watu tofauti 33

Kisayansi na kimahesabu nk
Joto la chini kabisa ambalo maji yanaweza kubakia kwenye hali ya kimiminika ni nyuzi joto 33
Kwenye kina cha bahari mgandamizo wa maji huji double kila baada ya kina cha miguu 33
Kibaojia animal kingdom ziko phyla 33
Namba 33 ina maajabu mengi yakushangaza mno.. Mimi nimeandika juu juu tu.. Je mnakumbuka wake wachimbaji waliofukiwa na kifusi kule Honduras walikaa chini ya ardhi muda gani!? Ilikuwa siku 33

Mada ya Je mange ni reincarnation ya Lilith iliyokuja kuunganishwa baadae na nyingine inatoa mwanga hasa unapounganisha kuskma Lilith chapter 33.. Sasa basi hebu chukua kikokotoo chako ufanye hii hesabu rahisi 264 ÷ 2, kisha jibu utakalopata ligawe tena kwa 2 na jibu utakalopata ligawe tena kwa 2....
Kuna vitu havihitaji nguvu bali tafakuri ya kiroho... Namba 264 sio namba ya kubahatisha imebeba tafsiri kubwa nyuma yake
 
Mgoja kwanza sijakuelewa. Uko kwenye Darasa la Imani au?. 264------------------/2=33. The what??.
Ok then this @ 33 Number???. Ambayo lecturer yako inasema;
Kuna mahusiano ya no 33
Kijografia
Kiimani
Kisayansi
Kibailogia
Kimahesabu nk
 
Nikigawa nata 33 mkuu nini kilicho nyuma ya namba 264?
 
Unajua Sana kujieleza mshana,sijaelewa coz sipo interested and siamini..leo ntacheza tatu mzuka kwa namba hizo..nkishinda nakupa asilimia 33
 
Na ukicheza tatu mzuka ukaweka namba zako tatu 246 draw ya saa tatu lazima ushinde,,,,,hii namba ya maajabu
Mgoja kwanza sijakuelewa. Uko kwenye Darasa la Imani au?. 264------------------/2=33. The what??.
Ok then this @ 33 Number???. Ambayo lecturer yako inasema;
Kuna mahusiano ya no 33
Kijografia
Kiimani
Kisayansi
Kibailogia
Kimahesabu nk
Nikigawa nata 33 mkuu nini kilicho nyuma ya namba 264?
You are all part and parcel of great thinkers... Use well your upstairs
 
Unajua Sana kujieleza mshana,sijaelewa coz sipo interested and siamini..leo ntacheza tatu mzuka kwa namba hizo..nkishinda nakupa asilimia 33
Hahahaaa nasubiri mgao nilipe bili
1521713955655.jpg
 
Back
Top Bottom