kuna kitu kinagoma katika maisha ya uhalisia! prof ryeyemamu ni mwanasheria mkuu hivi kwa akili ya kawaida mtu hadi aufikie uprof na kuwa mwanasheria mkuu wa serikali atakuwa na miaka mingapi? wakati huo huo baba yake still ni mwanasiasa maarufu
najiuliza hawa baba na mwana wanatofauti ya umri gani?
Endelea basi jamanSamahani sana Bosi nilifanya Typing Error! Baba yake ni mtu aliekuwa mwanasiasa maarufu siku za nyuma.
Natural Beaury nilitaka nitume Episode 7, kesho mchana. Lakini kwa ajili yako nitaituma saa 11 alfajiri, ngoja nimalizie kufanya uhariri chap chap
kuna kitu kinagoma katika maisha ya uhalisia! prof ryeyemamu ni mwanasheria mkuu hivi kwa akili ya kawaida mtu hadi aufikie uprof na kuwa mwanasheria mkuu wa serikali atakuwa na miaka mingapi? wakati huo huo baba yake still ni mwanasiasa maarufu
najiuliza hawa baba na mwana wanatofauti ya umri gani?
hii ni hadith kaka haina uhalisia ndo maana unaangalia filamu ya masaa matatu mtu anazaliwa anakua na anaoa au kuolewa ndan ya masaa matatu.
Hongera sana JamiiForum ni bonge la story,unanifanya nami nahangaika hapa nilipo kama Frank,dah! Sijui watapona kweli?
Vipi kuhusu dripu ya maji kwa Brenda alitembea nayo au? maana Frank alipokuwa supermarket ndo dokta Roby alikuwa akimwekea dripu Brenda. Correction kidogo Land Cruiser Prado badala ya Rend Cruser Prado. Hongera sana kwa improvement naona sasa itasomwa na wengi zaidi, big up!!!