The Salary Theory...

Bigirita

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
15,060
Likes
1,740
Points
280

Bigirita

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
15,060 1,740 280

"Salary Theorem" states that "Engineers and scientists can never earn as much as business executives and sales people."

This theorem can now be supported by a mathematical equation based on the following two postulates:

As every engineer knows: Power = Work / Time

Since:

Knowledge = Power
Time = Money
Knowledge = Work/Money.


Solving for Money, we get:

Money = Work / Knowledge.

Thus, as Knowledge approaches zero, Money approaches infinity, regardless of the amount of work done.

Conclusion:

The less you know, the more you make
 

Chamoto

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2007
Messages
2,467
Likes
1,692
Points
280

Chamoto

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2007
2,467 1,692 280
Tatizo kuhuzu kazi ya mshahara/kuajiriwa ni kwamba inakosa kitu muhimu kiancho itwa leverage.

Injinia aweza kutengeneza pesa nyingi kama ataweza ku-leverage ujuzi wake. kwa mfano kama ata-patent tekinologia aliyo gundua na ku-lease. Lakini tatizo nikwamba watu wengi hawafikirii hivyo. Wanafikiri uinjiniani pale unapokuwa kibaruani

Unapo leverage (time, money, knowledge, people, connection) unaweza kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja mfano unaweza ku ajiri watu wengi ili wengine wafanye kazi ile ile unayo ifanya sasa, au uka automate repetitive processes ile uondoe human errors na kupunguza gharama.

Inasikitisha sana tunajifunza kwenye (physics) efficiecy = output/input
lakini hatutumii kwenye maisha ya kawaida.
 

Pearl

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2009
Messages
3,042
Likes
34
Points
135

Pearl

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2009
3,042 34 135
kuku hawajambo wanakusalimia sana ,siwapi hizo dawa mpz,mimi na familia yangu no kuku wa kidhungu ni kiswahili tu full kujitafutia mchangani,wale wameisha wknd hii nafata dodoma kama 100 utanisaidia kubeba?
I know!
sometime unakuwaga kichwa kweli! kuku wako wanaendeleaje? wanataga? huwapi ARVs kama wale wa mbeya?!
 

matambo

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
728
Likes
13
Points
0

matambo

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
728 13 0
Ha ha haaaaaaaaaa,nimecheka sana that is why the oligarachs of middle east and russia have a lot of money but no ting in their damn heads
hahahaaaaaaaaaaa
 

Forum statistics

Threads 1,203,481
Members 456,791
Posts 28,115,078