Kweli kabisa magari yote ya ukweli na product za UK...wanaitangazia dunia nilikuwa naangalia bei zake balaa tupu
Lazima afurahi ndo siku yake na kuolewa kwnye royal family ni bahati kubwa..fikiria dunia nzima wanafwatilia shehere hii na unavyowajua waingereza kwa publicity....kate anatabasamu ile mbaya
kate anatabasamu ile mbaya
Wapi kikundi cha matarumbeta na ma best girls wakisherehesha kwa kumwaga mchele na maua?..lol! kama harusi za huku kwetu.