leo nilikuwa pale kwenye samaki but siku zingine hata samaki hatoi maji caz hawakulipa bili.. nmeenda tena mpaka bismarck mpaka capirpoint mpaka kule capirpoint water plant na nadhani nmeshamaliza though ni mara yangu ya kwanza kuja mwanza to college...:wink2:

Mkuu yani hapo ndo unaona umeimaliza Mwanza? Hujaenda Bujora Museum,Sanane Island,Villa Park,Malaika Beach,Kirumba Stadium,Mwaloni,Viwanja vya Furahisha....mazee the Rock City ni nouma!
Home kwetu kwapendeza haswaaaaaaaaaaa