Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,663
- 167,602
Leo nimeusikia wimbo wa World Cup wa Wyclif Jean na Carlo Santana kwa kweli ni mzuri mno
Leo nimeusikia wimbo wa World Cup wa Wyclif Jean na Carlo Santana kwa kweli ni mzuri mno
viwanja vimekamilika??
Mimi binafsi ningeshangaa kama kaka, robinho au ronaldinho wangeitwa. Kikosi kimetulia, ngoja tuwasubiri na wengine watangaze.
Leo nimeusikia wimbo wa World Cup wa Wyclif Jean na Carlo Santana kwa kweli ni mzuri mno
Mimi nahisi tunasubiri kumuona brasil
Anavobakisha kombe nyumbani
hawana timu ya kuchukua kombe.
Nimeona niwe miongoni mwa wachangiaji wa mwanzo kabisa........in order of priority these are my favorite to crown the cup.
1. Brazil
2. Germany
3. Uruguay
4. Argentina
5. Spain
Chagua moja tu tukujuwe upo wapi
Leo nimeusikia wimbo wa World Cup wa Wyclif Jean na Carlo Santana kwa kweli ni mzuri mno