Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,084
- 12,329
Mkuu inawezekana tena sio jambo la kushangaza, kwa brazil hii! Ata cameron anajipigia.Hiyo itaitwa sungura kamkaba tembo...
Mkuu inawezekana tena sio jambo la kushangaza, kwa brazil hii! Ata cameron anajipigia.Hiyo itaitwa sungura kamkaba tembo...
Ndoo haitaondoka Brazil mark my words!
Wamesogeza mbele hadi October 2014 kupisha katiba MPYA na Bongo Star Search.
Labda ndoo ya maji. Amini usiamini kombe linakuja Africa, ikishindikana linakwenda Belgium, ukibisha niwewe tu na ruhombaya yako.
Wamesogeza mbele hadi October 2014 kupisha katiba MPYA na Bongo Star Search.
Hehehehe nimecheka tena kiongozi wa serikalini au bungeni anaenda kijijini siku akitaka yeye mambo yake kuweka sawa, kijijini aseme kunashida akifika kijijini anapewa mkungu wa Ndizi midizi hata Sita kupeleka kwake ila kijijini elimu shida maji shida, Jana nimetizama kipindi beckham kaenda Brazil kutoka rio kwenda ma Amazon na bike Kule kijijini kuna kijiji kimoja kuvua samaki jamaa hawajui wakamuliza unafanya nini akasema football akawauliza hamtizami football wakasema tunasikiliza kwenye Radio wakamwambia unacheza football unapesa huku umekuja kufanya nini? Akasema kubadilisha mawazo ya life na Presha wakacheka wakasema Presha? Sie tunaishi tupate kula na familia zile hakuna Presha hapa kwenda kufika ndani Amazon watu wakijiji waliulizwa na beckham nini hawataki kutoka watu wa nje Yule Babu akasema hatutaki watuingilie kukata miti wala barabara mara ya mwisho walisababisha watu wetu wafe na magonjwa sie hapa hatutaki umeme wao wala mabus Yao sie Tupo fine na maisha yetu wao wanataka kufanya Yao kwa matumbo Yao watajirike sie hatushi kwa pesa hapa tunalima pamoja tunakaa pamoja tunakula pamoja gari na pesa zao huko huko sie hatujaenda kuwalazimisha waishi vipi na sie watuache alone.Duh kumbe Bongo kuna mikoa 35, I'm very out of touch. inaelekea jinsi population inavyoongezeka ndivyo na mikoa inavyoongezeka.anyway kwa jinsi navyoijua bongo watu wa vijijini,mikoani na maskini hawahesabiki wala kujaliwa hadi kipindi cha uchaguzi ambapo wagombea wenu watakuja na ahadi feki na kudai waliwaletea manyunyu ya mvua yasiyoweza kukata kiu cha Jua halafu mnawapa kura
Hehehehe nimecheka tena kiongozi wa serikalini au bungeni anaenda kijijini siku akitaka yeye mambo yake kuweka sawa, kijijini aseme kunashida akifika kijijini anapewa mkungu wa Ndizi midizi hata Sita kupeleka kwake ila kijijini elimu shida maji shida, Jana nimetizama kipindi beckham kaenda Brazil kutoka rio kwenda ma Amazon na bike Kule kijijini kuna kijiji kimoja kuvua samaki jamaa hawajui wakamuliza unafanya nini akasema football akawauliza hamtizami football wakasema tunasikiliza kwenye Radio wakamwambia unacheza football unapesa huku umekuja kufanya nini? Akasema kubadilisha mawazo ya life na Presha wakacheka wakasema Presha? Sie tunaishi tupate kula na familia zile hakuna Presha hapa kwenda kufika ndani Amazon watu wakijiji waliulizwa na beckham nini hawataki kutoka watu wa nje Yule Babu akasema hatutaki watuingilie kukata miti wala barabara mara ya mwisho walisababisha watu wetu wafe na magonjwa sie hapa hatutaki umeme wao wala mabus Yao sie Tupo fine na maisha yetu wao wanataka kufanya Yao kwa matumbo Yao watajirike sie hatushi kwa pesa hapa tunalima pamoja tunakaa pamoja tunakula pamoja gari na pesa zao huko huko sie hatujaenda kuwalazimisha waishi vipi na sie watuache alone.
Jamaa wa Amazon wao wanaishi simple life hakuna cha stress wala presha, wapo 100% maisha ya kijamaa hawana haja ya sijui Teknolojia wala sayansi. Ukichunguza sana Maendeleo ndo yanaleta hizi Stress tulizonazo, kila siku tunakimbizana ili kumaintain tulivyonavyo na kuongeza tusivyonavyo. Mfano kipindi hiki cha Kombe la Dunia kila mpenzi wa Soka duniani yupo stressed kwa sababu ya mpira. Hakuna hata mmoja aliye radhi kukosa mechi moja, akili yote ipo katika mpira hadi vitu vyingine vya muhimu sana zaidi ya mpira vinawekwa pembeni. Stress kushoto Stress kulia stress katikati. Tusubiri tutasikia watu wanajining'iniza sababu timu walizotarajia kushinda au kufanya vizuri zimeboronga. Kitu kingine nawapa hao jamaa heko ya kujilinda dhidi ya magonjwa ya kigeni. Jinsi dunia inavyozidi kuwa ndogo ndo tunavyozidi kuambukizana magonjwa toka kona zote za dunia. Mfano huu ugonjwa wa Dengue, unavyowamaliza watu Bongo. Hii ni theory yangu naweza kuwa sipo sahihi. Nakumbuka nilisoma sehemu zamani kidogo kuwa ugonjwa huu ni Common nchi za Southern Asia kuliko Afrika Mashariki nadhani jinsi hawa wachina na jamii zao wanavyozidi kujaa kwetu ndo wanavyozidi kutuletea magonjwa yao tusiyokuwa na kinga(immune system) za kupambana nayo. Hawa watu wa Amazon pamoja na kutokuwa na maendeleo na elimu walitambua kuwa wageni ndo waliowaletea magonjwa yaliyowateketeza ndugu zao kama walivyosema katika hicho kipindi. Mwalimu wa historia darasa la Saba enzi zile alisema Wazungu walileta magonjwa kibao afrika tuliyokuwa hatuna pia hata wazungu waliohamia Marekani nasikia nao walileta magonjwa yaliyowateketeza native indians kwa wingi.
#TeamEngland DonDonald Tupo na rubaman na Nzi japo kajifanya Brazil hehehe.Jumamosi ifike haraka tuanze kusherehekea Kombe la Dunia Vizuri [Kwa ushindi wa kishindo} rubaman
#TeamEngland DonDonald Tupo na rubaman na Nzi japo kajifanya Brazil hehehe.
Miafrika bana!! Kwa mpira upi miafika wanaocheza hadi wabebe kombe?
2010 ndio ilikuwa the farthest point African teams could go baada ya hapo sahau
Mpira sisi hatujui ikibidi watutoe kabisa siku zingine wawape nafasi wengine wanaojua wakalete radha huko sio sisi tunaruka makhirikhiri tu