Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,971
- 6,670
Maneno wanayosema watu kwamba wanataka wajumbe wafike hapa kutoka Umoja wa Mataifa, kutoka Commonwealth, kutoka European Union , kutoka wapi kwingine sijui,waje hapa watusaidie kutanzua matatizo yetu siyo sahihi.
Tufanye internal political dialogue.
Mambo yote yanaweza kujadiliwa bila kupepesa macho: kama waliodhurika October 29 wanahitajia kufidiwa: kama waliodhurika October 29 wameweza kuwa identified; kama wapo watu wanahitaji kuwajibishwa kwa jinsi walivyotekeleza amri halali walizopewa za kutuliza ghasia.
Jana Donald Trump amesema anaipinga ICC. Pia amesema nchi yoyote itakayoipinga ICC itakuwa rafiki mkubwa wa Marekani.
As it is now, nasikia ICC wamekwishamuita Rais Samia aende kule kujibu mashtaka. In fact, I understand wametuma barua ya pili kumkumbusha kwamba wanamsubiri kule.