Nato waja na mikakati kabambe ya kijeshi kumshikisha adabu Alhaji Kanali Qadhafi; kwa mtaji wa vyombo vilivyokwishapenyeshwa ndani ya Libya, Mi-Nyambizi kila kona Baharini, mwelekeo wa kuvuruga programme nzima ya mawasiliano ya marubani wa Libya na kugawa jeshi kati kati hadi ikulu ya Tripoli, shirika hili laongeza kwamba pindiwatakapoanza tu zoezi la NO-FLY ZONE LIBYA basi huenda wakahitaji siku chache tu isiozidi wiki moja kumtia nguvuni huyu Desert Rat Qaddafi.
Tusubiri tuone nini kitatokea maana nilichokuwa nikikiona mimi ni utumiaji wa nguvu kupita kiasi dhidi ya wananchi huku wakinyemelewa na vita ya wenyewe kwa wenyewe.
visima milioni 200 vinachimbwa kwa siku au? Maana sijaelewa.
Je ni sahihi kuua watu wengi wako hivi ili kuendelea kutawala?
Libya wanaproduce 1.65 million barrels a day. Libya ni ya 9 au ya 10 kwa kuzalisha mafuta dunian.Mkuu, naamini Leornado alitaka kusema mapipa Millioni 200 yanachimbwa kila siku...
Je ni sahihi kuua watu wengi wako hivi ili kuendelea kutawala?
France has become the first country to recognise the Libyan rebel leadership, the National Libyan Council (NLC), as the country's legitimate government.
Source: BBC
Muheshimiwa sana Bantugbro afadhali umeliona hili...mauaji wafanye wao ila ukiwa against na western hufai...ni gaidi mkubwa! Saddam alikua mbabe...well,km mimi au wewe usivyopenda mambo ya kipuuzi! Ukatili wa Sadam/Gadafi/Chavez/Ahmadnejad si kwa scale inayozungumzwa na western!
hao wanafik walikuwa wanaomba usiku na mchana Mubarak asiondoke...sasa wameshapeleka meli za kivita karibu na Libya na wanataka kuweka no fly zone Libya!
Ebo! Hiyo fly zone ya kwenu?
A choice has to be made by the Rebels, kupokea msaada toka Ulaya na baadae waendeshwe kama gari bove na wazungu au wakatae huo msaada na baadae waendelee kuwa adui wa Wazungu.
Guys the isssue is that the Rebels wangewaachia wananchi waendelee kuandamana mpaka kieleweke kama Misri, then mwisho ndio waingie.
Sasa Gadafi anavisingizio Kibao, na atawang'oa.
Je ni sahihi kuua watu wengi wako hivi ili kuendelea kutawala?