Watu walisema Obama wanahisi atauwa,au walisema Iraq au Afghanistan zisingetulia leo kimya kimya tunaanza kusau mabomu ya milipuko ya Nchi hizo na tunaaanza kuona picha za matukio mengine kabisa.Libya na mataifa mengine yatajengwa na kupewa ushirikinao na marafiki wao wa kweli,ubaya imekula kwetu kwa kuwa viongozi wetu wamekosa maono [Vision] wengelijua wakasimama katika misingi ya kusimamia sauti kama
"TUNAUNGA MKONO MHESHIMIWA RAIS WA LIBYA KUWASIKILIZA RAIA WAKE NA KUCHUKUA MAAMUZI KWA MUJIBU WA MATAKWA YA RAIA ZAKE "
Sentensi kama hii,leo hii tusingejichongeaa kwenye mapinduzi haya kwa kuwa Nchi ni Mali ya Raia na si kuwa ni Mali Ya Gadhafi na Serikali na Wapambe wake wa Karibu.
Leo hii tumetengeneza ukuta wa kidplomasia wa umma na Taifa hilo la Libya,nashukuru Mungu Kikwete aliliona hilo akalekebisha kwa kutumia uzoefu wake pale alipokuwa United Nations.Ila kwa hapa Nchini Waziri wa Mambo ya Nchi Za Nje amekuwa akiliweka katika Sura mbaya na isiyopendeza kwa kuwajengea wanachi muono mbaya wa sura halisi ya mapinduzi ya Umma ya Libya.Mimi binafsi imekuwa inanichefua vibaya pindi anapoongelea siasa za dunai mpya zinazoendela hasa habari za mapinduzi ya Nchi za Kiarabu.
Sasa ni zamu ya Syria na Yemen sijui ataweka nyongo gani ndani ya Wananchi kuendelea kuichukia Marekani kwa visingizo vya kijinga pasipo kuangalia ukweli halisi.
Nakumbuka miaka ya Nyuma watanzania walilishwa chuki mbaya sana swala la YUGOSLAVIA NA KOSOVO kiasi kuwa kuna mataifa yalibambikiziwa misimamo ya kiovu leo hii kosovo na Yugoslavia ni mataifa yanasonga mbele kustawisha Taifa.
Viongozi wetu wajitume kusoma alama za nyakati [Vision] wasimamie upande wa wenge hiyo ndo asili yetu toka enzi ya Mwalimu aijalishi alikuwa anatupatia nini?Isingekuwa busara za kikwete kuonyesha kuwa yuko pamoja nao kabla ya kifo cha huyu jamaa na hakika mafuta ya Libya tungeyaskia kwenye bomba.
Rais Wa Tanzania Jakaya Kikwete na Kiongozi wa Mapinduzi Ya Libya Mustafa Abdel -Jalil walipokutan Nwe York United Nations
Rais Jakaya Kikwete na Kiongozi huyo wa Libya Wakifanya Mazungumzo Muhimu ya faragha tena yanaonekana Matamu kwelikweli [Yani kwa tafsili Nyingine ni Mtanzania anaongea na Mlibya kama Marafiki wanaotegemeana kwa ushirikiano]
Rais Jakaya Kikwete na Kiongozi huyo wakitakina mikonno ya heri kuwa tuko pamoja [Tafsiri sahihi ni kuwa Mtanzania anamtakia heri Mlibya ambae ni rafiki yake kwa mafaniko yake].Hapa ndipo uwa naona kweli jamaa huyu anastahiki Kofia take ya Udaktari wa Heshima ya Juzi ya SHERIA ya Chuo kikuuu
Rais Jakaya Kikwete akimtambulisha Barozi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Bwana Ombeni Sefue.
View attachment 39644
Haaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! Enzi hizo imebaki kuwa story aksnnte Kikwete kwa kucheza pele kuwa ulifanya kuwakubali Wapinzani wa Gadhafi kabla HAJAFA vinginevyo tungeweka wapi sura kujitokeza kuonyesha tuko pamoja nao baada ya kuona huyu asieleweka na mkosa utu kashindwa.Lakini leo tuko kifua mbele kwa kuwa uliwatakia heri toka mwanzo
RAFIKI WAKATI WA DHIKI NDIO RAFIKI WA KWELI,LEO WAKIKUPA MAFUTA KWA AJILI YA RAIA WAKO NI HAKI YAKO.
Ila bado nalia na wewe na UFISADI WA BONGO, japo ukuuanzisha lakini watanzania wanataka kuona unaumaliza !!!!!!!!!!!!!!!!