The right time to marry...

The right time to marry...

Simply

Senior Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
130
Reaction score
30
salaam wana JF ,
Swal langu la msingi hapa ni umri gani sahihi wa kuoa, na ni vitu gani mtu anahitaji ili aweze kusema nataka kuoa. ?
 
Utakapokuwa tayari unajitegemea plus umempata wa kuwa nae maishani
 
when u are delusional enuf to a point where u think ur life has no meaning without that lady being around u
 
ukisha maliza kuonja wote mtaani!ndo unaoa na kutulia!!
 
Pindi utaona unahtaji kuwa na mwenza
 
ukisha maliza kuonja wote mtaani!ndo unaoa na kutulia!!

atiii kuonjaa dah asa ukionjaonja bucha tofauti afu ukaja kuamua kuoa sasa ukakuta ule utamu wa bucha za nje ulioupata kabla ya ndoa magnitude yake ni kubwa kuliko huyo uliye muwekea password inakwaje sasa utarevoke? mi nadhani if you get a good lady jus marry her life is ful of uncertainty, ukiona you are independent then you can get married life haina formula bana
 
hakuna muda maalum bt uwe na uwezo wa kuprovide basic nids kwa mkeo, inategemea na definition yako ya basic nids
 
Kwangu mm umri wa kuoa ni pale unapokuwa umekua vya kutosha kutowategemea wazazi wako kukufanyia maamuzi katika maisha yako binafsi,na kuweza kukabiliana na changamoto za kimaisha, ukishaoa unakuwa kiongozi wa familia na unategemewa ktk kufanya maamuzi kwa kushirikiana na mwenzi wako hivyo lazima uwe umekomaa kiakili.
 
Muda ukifika utaujua tu,,shinikizo la dhati toka ndani yako litakushinda busara.
::
Shinikizo la nje yako ambalo linakupa uhalali wa kuoa.Muda ukifika utaujua tu,usiulazimishe wala usiubembeleze.
=
 
Utakapo komaa ki-akili automatic huwa unahitaji kuoa no matter una nini.
 
hakuna muda maalum bt uwe na uwezo wa kuprovide basic nids kwa mkeo, inategemea na definition yako ya basic nids

Is she an asset or a liability ,,?
Why should t nt b a double coincidence of wants,,
 
Assuming kuna mwenza akufaaye na uwezo wa kujitegemea, ni vema kuoa mapema iwezekanavyo. Hii itawapa muda wa kuwalea watoto wenu hadi wajitegemee mngali na uwezo wa kuhangaika kiuchumi. Inasikistisha kuona mtu anastaafu, bila kuwa na nguvu ya kiuchumi, na ana watoto ndio kwanza wako shule za msingi!
 
Back
Top Bottom