THE RIGHT ONE............Ulimtambuaje/ Utamtabuaje?

binafsi cjui nilimtambuaje bt until now ni msichana nnayempenda kwa dhati.
 
Kwa kweli inahitaji msaada wa Mungu.Wangu nilikutana nae nikiwa na jeraha moyoni baada ya kuwa uchumba wangu wa awali umevunjika!She came just like a friend,hakuwa mpenzi lkn alikuwa na inner values ambazo sikuziona ktk friends wangu wa awali,.Alikuwa msikivu,mwerevu mwenye upendo wa dhati hata ktk hali hiyo ya urafiki alikuwa mshauri mzuri sana,alikuwa ananitia moyo ktk kila gumu nililo kumbana nalo na kumshirikisha,hakukubaliana na matumizi ya fedha kuimarisha uhusiano,ALIKUWA MCHAMUNGU,Sikuwa na fedha lkn alinithamini na kuniheshimu,kutokana na values zake niliweza kumuona MKE toka kwa mwanamke.TUNA MIAKA 10 SASA cjaregret kuwa nae,.WIFE IS MADE OUT BY INNER VALUES AND NOT OF OUTER VALUES....urembo,kujipenda n.k.
 
binafsi cjui nilimtambuaje bt until now ni msichana nnayempenda kwa dhati.

hongera sana lakini ipo sababu kwa nii ulimkubali tafakari na utapata majibu yako.......................ila usiache kutujuza wenzio lol.......
 

uliponisuuza roho ni hii ya inner values.................kwamba alikukubali ulivyo bila ya kujua malengo yako ni yepi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…