The RICHMOND saga is on the way

The RICHMOND saga is on the way

Teh teh teh! never, it wont happen at all otherwise no giant stone will be left untouched and gues what... a fatal distortion and falling of powers will firstly be witnessed in this country. Hiyo itaitwa ni kupatwa kwa historia ya uongozi wa nchi endapo haki ya sheria itasimamiwa... Tafadhari waungwana muacheni mkwere ajipumzikie hamuoni afya yake imezorota?!
You will be surprised no one will ever touch this Pandora box leaking with maggots.
 
Ndio umeandika nini hicho hapo juu??????.....Naona unatumia cheti cha MWENYEKITI WENU.....ebu nenda kamdai cha KWAKO
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu!!
Ndio ujue kwanini huwa anajificha nyuma ya vipicha picha anavyobandika..

Kamwe haandiki zaidi ya kamstari kamoja... [HASHTAG]#uwezo[/HASHTAG] hafifu...
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Unadhani mahakamani utetezi wa "nilielekezwa kwenye simu wakati mzee yupo new york" utakubalika mahakamani? Wale wazee wanataka documents...serikali haiendeshwi kwa simu
unahisi kuna document yoyote...I mean mikataba aliosaini lowasa? kwa taarifa yako haupo
 
Nakumbuka Dr. Mwakyembe wakati anasoma ile report ya kamati pale bungeni alisema hivi 'mambo mengine tunayaacha kwasababu tukiyasema nchi itatikisika''. Je ni nani wa kumvisha paka kengele shingoni!
 
He who sue others must have clean hands, im waiting to see that person.
 
Teh teh teh! never, it wont happen at all otherwise no giant stone will be left untouched and gues what... a fatal distortion and falling of powers will firstly be witnessed in this country. Hiyo itaitwa ni kupatwa kwa historia ya uongozi wa nchi endapo haki ya sheria itasimamiwa... Tafadhari waungwana muacheni mkwere ajipumzikie hamuoni afya yake imezorota?!
Mswahili?
 
Tanesco mnatunyonya sana aisee kuna nini apo? aise kweli Tanesco ni shetani
 
Back
Top Bottom