The RICHMOND saga is on the way

The RICHMOND saga is on the way

Hii mikataba ya Symbion ni ya kinyonyaji kupita kiasi!Yaani hata kama hawatuuzi umeme bado tunapaswa kuwalipa!

Watu wana uchugu na mishahara hewa na safari za nje lakini sio mikataba kama hii!!
 
Wakuu nifahamisheni huo mkataba kati ya hao DOWANS, SIMBION, RICHMOND na TANESCO ni wa muda gani? Yaani utadumu kwa miaka mingapi 10, 15, 25, 50, au 99?

Na je ni lazima kuu -renew?

Au ukisha tunaweza kuachana nao wawatafute watu wao wa kuwauzia huo umeme watakaozalisha au wafungashe virago
 
Walisema hii Kampuni ni hewa yani haipo,iweje leo inataka kuishtaki Tanesco? Mwakiembe tunaomba ufafanuzi.
 
Wakuu nifahamisheni huo mkataba kati ya hao DOWANS, SIMBION, RICHMOND na TANESCO ni wa muda gani? Yaani utadumu kwa miaka mingapi 10, 15, 25, 50, au 99?

Na je ni lazima kuu -renew?

Au ukisha tunaweza kuachana nao wawatafute watu wao wa kuwauzia huo umeme watakaozalisha au wafungashe virago
15 years renewable... nchi tamu sana hii
 
ukiwa wataandamana muzee inaonewa....
morani sitaandamana kulalamikia laigwanani inanyanyaswa......
wanademokrasia watafumba macho na kusema why now....serikale nabana upinsaniii....

ila ukweli unabaki kuwa mutu itakuwa na hatia tu endapo itasibitishwa na mahakama ya sheria
 
Unadhani mahakamani utetezi wa "nilielekezwa kwenye simu wakati mzee yupo new york" utakubalika mahakamani? Wale wazee wanataka documents...serikali haiendeshwi kwa simu

How sure are you that he doesn't have any document to refute the allegations. The important thing is to see His Excellency, if he can even dare to mention his name directly from his mouth as fisadi.
 
Rais anaposema TANESCO ndo SHETANI, watu hawajamuelewa kabisa hapa, walitafsiri juu juu tu.
 
Haya bavicha njooni haraka mlinde Mzee ,

Wakati mnakula zile billion kumi mlifikiri za bure?

Mtakoma kusafisha DJ aliwaingiza chaka
 
Unadhani mahakamani utetezi wa "nilielekezwa kwenye simu wakati mzee yupo new york" utakubalika mahakamani? Wale wazee wanataka documents...serikali haiendeshwi kwa simu
Kuna nyakati au levels serikali inaendeshwa kwa mdomo.
 
Ningependa sana Lowasa ashitakiwe ili tujue ipi mbivu na ipi ni mbichi.

Tuondoa ukakasi uliopo juu yake.

Ila Mzee wa Msoga naye hachomoki kwa hili.
Mpaka sasa bado kuna sintofahamu ya mmiliki wa iliyokuwa Richmond! Je, Lowasa atashitakiwa kama mmiliki wa Richmond au kupitisha mkataba tata wa Richmond! Simple to complex, km Lugumi ambayo iko mbichi na wazi hakuna kinachoendelea, kama Escrow bado mbichi na iko wazi hakuna kinachoendelea!!
 
Back
Top Bottom