The RICHMOND saga is on the way

The RICHMOND saga is on the way

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu!!
Ndio ujue kwanini huwa anajificha nyuma ya vipicha picha anavyobandika..

Kamwe haandiki zaidi ya kamstari kamoja... [HASHTAG]#uwezo[/HASHTAG] hafifu...
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
hahahaha.....Mkuu umeona.....Unaweza kuta tunatumia nguvu nyingi sana kubishana na MDOGO WAKE ZERO BRAIN
 
Kesi ikipelekwa mahakamani kauli ya Mwakyembe itakuwa muhimu kwa upande wa utetezi
 
Let the past be forgotten. Let the graves rest. Let the country move forwards (or backwards)!
 
.....mkuu atawalinda mafisadi!!!
 
::RICHMONDS ON THE WAY,ESCROW ON THE MOVES,UUZAJI NYUMBA ZA SEREKALI NA SASA INALAZIMIKA KUJENGA ZINGINE ITS OK'S::
 
"Mwenye USHAHIDI wa ufusadi wangu kuhusu RICHMOND atangulie mahakamani." - E. N. LOWASA

Msifikiri ENL ni zoba ..! Anajua anachokiongea.
 
wastaafu wote wako mikono salama, wasiwe na shida by JPM.
 
sa cjui utatumika ufundi gan ili huyu awe mtuhumiwa peke yake bila yule......ila kwa kwetu huku africa inawezekana
 
Before you touch him prosecute his former boss who chaired ministerial meetings that approved everything
I know. Thats why i don't see that coming.
He is smart and he knows who's behind all that.
None will dare touching him..
 
Teh teh teh! never, it wont happen at all otherwise no giant stone will be left untouched and gues what... a fatal distortion and falling of powers will firstly be witnessed in this country. Hiyo itaitwa ni kupatwa kwa historia ya uongozi wa nchi endapo haki ya sheria itasimamiwa... Tafadhari waungwana muacheni mkwere ajipumzikie hamuoni afya yake imezorota?!
Najua kila kitu.
Ndo maana nikasema hilo litokee ili tujue mbivu na mbichi kuhusu richmond.
Tunataka kusikia kilicho kwenye kifua cha Lowasa.
 
But isn't the Richmond energy contract a grand graft scandal? As a rule of thumb, the CCM government should regard it a sacred cow!
 
yule muhuni kutoka magu sijui kwimba anayeitwa lugumi kamtoa kijasho na amekuwa bubu kutaja hata neno lugumi,ipo siku mtu akitaja neno richmond ataitwa mchochezi!!anaishia kutaja neno tanesco lakini sio dowans au symbion
 
Kuirudisha issue ya Richmond tena nahisi itawadhalilisha viongozi wakubwa wa nchi hii hasa wastaafu.

Pia inaweza kumletea picha mbaya Rais wa sasa kwani alianza vizuri na amejenga hali ya kuaminiwa na wananchi, sasa hii itamrudisha nyuma.

TUSUBIRI TUONE.
 
Back
Top Bottom