The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

mkuu lile bandiko la mifereji ya damu kuelekea Ethiopia liliishia wapi mbona kama sikuona mwendelezo wake nilisoma mpk episode 8 hivi.. kwanimwisho ilikuwa namba ngapi


Lilifika Mwisho boss...ila kusema ukweli sikupenda lilivyomalizikia maana kuna vtu Mkuu hakuvielezea kinagaubaga kama ambavyo alielezea kwenye sehemu nyingine za bandiko. Ila siwezi kumlaumu maana najua madhara ya hzi habari za ufukunyuku...unaweza tembelewa Na watu wasiojulikana ghafla.
 
Shukrani chief... Nimekuadd kwenye taglist chief japo username yako imenipa tabu sada kuhesabu hizo "iiiii"
emoji28.png
emoji28.png
emoji28.png
Asante Mkuu pole kwa (iii)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom