The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

Mkuu Habib, ingawa huwa hufanyi taging kwangu, lakini huwa nakufuatilia kwa mbali na naona jinsi unavyoweza kutumia hiyo kalamu.

Kalamu ni Silaha kali sana na hapo unapoingia sasa hivi ndipo penyewe khasa.

Shusha nondo na hii itakuwa ni moja ya makala za mwaka.

Hawa viongozi wako wengi hata kule Angola, Equatorial Guinea na kadhalika tunaona jinsi wananchi wa kawaida wanavyowezeshwa kusahau kufikiri.

Lete Darsa.
So sorry comrade...

Added to taglist.

Shukrani sana
 
Part 2 lini mkuu, kupitia hii simulizi nahisi tutang'amua mawili matatu kuhusu uhusiano wa Jiwe na Slim.
 
Xcuz me!!! etii?!!? Putin tajiri zaidi duniani!!? Aaahh umebugg mjomba

Sikia mjomba maisha yako yote mwanasiasa tajiri hawezi mzidi mfanyabiashara tajiri hata aibe vipi, achana na kitu inaitwa biashara, acha mchezo kabisa na iyo kitu, tena usilete utani ata kidogo

Cheki apa Bill gates anaingiza dolla za kimarekani 23,148 kwa dakika1 sawa na Tzsh Milioni 53, 240,400 hiyo ni kwa dakika mjomba lakini kwa siku anaingiza dolla za kimarekani Millioni 1,380,000 sawa na Tzshs Tillion 3,174,000,000 bajeti ya wizara hiyo mjomba

Dangote anaingiza Tzsh Million 11,600,000 kwa siku sawa na Million 350,000,000 kwa mwezi sasa unapokuja kutuletea porojo za watu kama akina kagame eti ni matajiri hahahahaa umekula maharage ya wapi mjomba

Achana na iyo mambo, kama unawaingiza chaka watu, waingize lakini kaa ukijua hapa Jf ni jukwaa la watu smart sana, usije ukaleta porojo zako ukadhani umewalisha matango yako, no way

Eti kagame tajiri africa,
Umebugg meeeen
Mmmhhh""
 
Mwanangu acha utani yaani dangote na utajiri wake wote aingize mil 350 kwa mwezi? Mbona pesa ndogo sana hiyo kwa tajiri kama yule?
mmh " ml. 350 per month kwa dangote " wakati manji alikuw anatumia ml .100, kuihudumia yanga tu kila mwezi " mwambie huyo jamaa aache " masihara aiSeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom