The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

Tayari ameshapigwa pini. Yuko smart lakini sijui kwa nini hakuliona hilo

Sidhani kama hakuliona hilo;

Mkuu The Bold huishi kutuchengua mashabiki zako!
 
Upo sahihi kabisa,nashauri Mod wamzuie kuleta haya ma thread yake yasiyo na mwisho maana anapotezea watu muda na concentration zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la haki ya kutoa mawazo / maoni ni mtambuka. Ni haki ambayo ukiitumia vibaya inaweza kukubomoa au kubomoa nchi. Haiyumkiniki ukatoa mawazo yako kwa lugha ya maudhi (kwa unaowakosoa hasa wenye kushika mpini wa dola) halafu utarajie kuchekewa au kufurahiwa.
Kama lengo la mawazo yetu ni kwa ajili ya kujenga, basi ni vyema kutumia lugha ya staha ambayo haitawaondoa (wenye kukosolewa) kwenye hali (mood) ya kutafakari ili kuwaepusha hali ya kupambana na wewe.
Tujitafakari!
 
Dah! so sad, Chief hakuna namna unaweza publish kitabu kuhusu hii makala? Au unaweza weka kwa softcopy(pdf,epub n.k)
Kazi Njema.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…