Lalo Salamanca
JF-Expert Member
- Dec 9, 2012
- 1,560
- 1,173
Trust me, hii kitu inachomoka hadi episode ya 24.
Wa-russia wameingia
Wa-china wameingia
President hajaondoka UK
Vice President hajapewa madaraka
Aliegundua 24 ni nyo.koo
Nimemaliza kuiangalia sshv, china lazima wata Retaliate vibaya sana,,mithili ya WW3!!Umeangalia episode ya 10 mkuu??
Daahh kweli 24 iache iitwe 24, kama nlivyosema mwanzo hii kitu ina soo many suprises, CHENG-ZI?? yaani sikua hata nawaza kama hili jamaa lita-pop up tena, safari hii Bauer atamfanya vibaya sana.
Nimecheka sana pale anamwambia chloe..."miss obrian, you are a long way from home"Daahh kweli 24 iache iitwe 24, kama nlivyosema mwanzo hii kitu ina soo many suprises, CHENG-ZI?? yaani sikua hata nawaza kama hili jamaa lita-pop up tena, safari hii Bauer atamfanya vibaya sana.
Nimemaliza kuiangalia sshv, china lazima wata Retaliate vibaya sana,,mithili ya WW3!!
Aahh hapa Bauer kabla hajafika kwenye device tayari ka-engage in shootings na Russians ila hajajua kama ni wenyewe, Fox wataharibu sana,yaani haya yote yawe resolved within 2 episodes?? olooolooo
Daahh kweli 24 iache iitwe 24, kama nlivyosema mwanzo hii kitu ina soo many suprises, CHENG-ZI?? yaani sikua hata nawaza kama hili jamaa lita-pop up tena, safari hii Bauer atamfanya vibaya sana.
FOX wanataka waharibu sequence nzima.
Wangeweka zilezile 24 tu
Nimecheka sana pale anamwambia chloe..."miss obrian, you are a long way from home"
Unadhani events zote zitamalizwa ndani ya episode mbili??
Bauer anatakiwa kujinasua kwa warussia, wachina itakuwaje??
Au wanataka kutoa season ya 10??
Nimecheka sana pale anamwambia chloe..."miss obrian, you are a long way from home"
Mbaya zaidi President Heller hajui chochote
Akiambiwa suprise zote zile atapata mshtuko wa moyo
Amesababisha chaos england, mara russians, mara china
Hajajua chief of staffs alifoji signature yake ila Bauer akamatwe kisa Audrey
Kweli bauer hana sikukuu
Lakini season za nyuma ile ya Logan akiwa rais heller(wakat huo secretary of state) alimwambiaga jack u r cursed
Wananiudhi yaaan sijui hata kwann wasitoe hata episode mia aaaah
After all ndo TV program inayoongoza kwa mauzo
Kuna siku Marylin Rajskub "Chloe" alipost link kwenye Official facebook page yake ikisema "24LAD may not be the end of 24"
Kwa series hii ya haya matukio naanza kusikia harufu kabisaaa kuwa there's much more coming, ngoja niitafute ile Link nione ilikua na nini hasa.
Hapo tu?je majibu ya jack kwa yule delugated officer Wa CIA na kwa traitor je?
To be clear I was not asking that was me being nice
Au the full immunity is not on the table but your hands are
hahahahah