Sasa kamua raisi je drone atazizima??
In ep9 Bauer is taking Action,
U don't listen mkuu
Kuna sehem presidaaa aliuliza the same question akajibiwa na mkuu Wa majesh?
The draws are untraceable
Mkuu kumbuka 24 ni masaa tu ndio kwanza tunaingia jioni presidaa bado hata hajamaliza siku uingereza.. "event occur in real time" in jackie's voice
No kwani pale Presidaa alipoenda Jack B uwanja wa wembley na Al haraz kushika Jockey steak na kubonyeza button anakumlipua rais ina maana pale rais hakufa??Pls niweke sawa other wise niiangalie upya!Guys there is no point ya kumuua rais hakutakua na umuhm Wa collabo ya jack na Chloe
It obvious Chloe kaihijach the drone na haijalipukia pale so either way ni lazima el haraz atagundua na pia itakua vita kubwa zaid
No way presidaa kufa trust me
What actions?
kwenye hizo ongezea na Arrow mkuu, hautojuta hata
Yaani me nimeimalizia jana, sasa naisubiri kwa hamu kubwa
Lost ni kali pia mkuu, ila kuna sehemu ilifika ikanivuruga kabisa
Nilisikia mkuu, ila dah, nasikia zinatoka 12 tu
Kwanini wasifanye kama ni opera??
It is According to the 24LAD Official Facebook Page, I don't know what actions for sure but in the next few hours to come we'll all gonna find out...
Ongeza XIII mkuu
No kwani pale Presidaa alipoenda Jack B uwanja wa wembley na Al haraz kushika Jockey steak na kubonyeza button anakumlipua rais ina maana pale rais hakufa??Pls niweke sawa other wise niiangalie upya!
Mhn kweli? Haya nasubiri kwa hamu kama walimdanganya Al haraz mwendeshaji wa divice lazima amle nyama kwa kumsitchNadhan hujanielewa mkuu
Sio 100% kwamba hajafa but we blv so sababu tayari choose an a control drawn kadhaa so probably ule ni mchezo Wa Chloe na jack but presidaa is not dead I guarantee u
Pale hajafa... am certain Al haraz kafanya vile ili kuwa-divert CIA na wengine wote watakaokuwa after Mr. President!!! Kwa hasira alizonazo yule mama, asingeweza ku-opt kumpa kifo cha upendo namna ile... lengo lake pale ni kumtia mikononi huku timu ya akina Jack wakiamini ameuawa!! Hadi wanagundua hakufa kwa drone, jamaa watakuwa wameshatokomea nae... ibaki kazi ya kumsaka... probably they want him alive for next trade and use him as a leverage!!! Hebu pata picha Al haraz akiamua tu kutaka kumdhalilisha na kumlazimisha atoe speech kuomba msamaha kwa "ugaidi unaofanywa na US" na mauaji ya mume wake!!!!No kwani pale Presidaa alipoenda Jack B uwanja wa wembley na Al haraz kushika Jockey steak na kubonyeza button anakumlipua rais ina maana pale rais hakufa??Pls niweke sawa other wise niiangalie upya!
It's 100% hajafa... i believe ile drone ni kutoka kwa yule mama ili ku-divert attention ya akina Jack watakaozani President amekufa!!Nadhan hujanielewa mkuu
Sio 100% kwamba hajafa but we blv so sababu tayari choose an a control drawn kadhaa so probably ule ni mchezo Wa Chloe na jack but presidaa is not dead I guarantee u
Yaan hata mm niliskia na waliniboa sana
Y12?
Hata wakisema tuchange hatushindwwi aisee
Ndio naangalia hapa ntakupa yaliojiriPale hajafa... am certain Al haraz kafanya vile ili kuwa-divert CIA na wengine wote watakaokuwa after Mr. President!!! Kwa hasira alizonazo yule mama, asingeweza ku-opt kumpa kifo cha upendo namna ile... lengo lake pale ni kumtia mikononi huku timu ya akina Jack wakiamini ameuawa!! Hadi wanagundua hakufa kwa drone, jamaa watakuwa wameshatokomea nae... ibaki kazi ya kumsaka... probably they want him alive for next trade and use him as a leverage!!! Hebu pata picha Al haraz akiamua tu kutaka kumdhalilisha na kumlazimisha atoe speech kuomba msamaha kwa "ugaidi unaofanywa na US" na mauaji ya mume wake!!!!
Rais hajafa kudadeki kama ilivyo Cloe alicheza na drones ila mama kagundua mchezo kabaki ameshangaa ila anajitahidi akontrol drone moja iliobakiGuys there is no point ya kumuua rais hakutakua na umuhm Wa collabo ya jack na Chloe
It obvious Chloe kaihijach the drone na haijalipukia pale so either way ni lazima el haraz atagundua na pia itakua vita kubwa zaid
No way presidaa kufa trust me