masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,834
- 14,990
Nakubsliana mkuu.This is why i always stand firm into my belief towards the Arusha declaration and CCM policies, sihitaji kuwa shabiki wa mtu au bendera fuata upepo, nasimama mwenyewe katika misingi ya taifa letu iliyojengwa kwa siasa safi za CCM, mwalimu wangu mmoja alishawahi kuniambia, wakati unataka kuchagua sensei mzuri, fanya uchunguzi wa haraka kwa background ya sensei wako kabla ya kujiunga na dojo yake,fahamu kwanza misingi yake, tabia yake kwa jamii, na mafunzo yake yakoje, msemo huu unasaidia kuwa makini na watu na kuwachunguza kwanza na kujitahidi kuwafahamu kabla ya kujiunga nao, si ajabu tena watu kuanza kuhama chama baada ya kusikia madudu ya viongozi wao, itakua aibu na utaonekana mtu ambaye huna msimamo, kama wewe ni kuhama hama tu na watu, si kila anayesema ANAMAANISHA, demokrasia ya kweli inaanza kwa kujitambua na kujenga misingi yako mwenyewe kabla ya kutafuta wale unaowaona mnaendana kimtazamo, na kabla ya kujiunga nao, chukua muda wa kuwafahamu kwanza, bila haya tunaweza kuwapa nchi majambazi tukabaki tunalia..
Jambo la ajabu kidogo ni kuwa Zitto kama Naibu katibu mkuu wa Chadema anatenda atendayo kwa kufuata Ideology ya chama chake sasa inakuwaje washabiki wa CCM wanamfagilia kama mtu wao? Ukiona mke anamsifia na kumtaja sana mume wa nyumba ya pili ujue kuna neno hapo
mtu akifanya kazi nzuri lazima apewe heshima yake, lkn muulize silaa na zito huwa wanakutania wapi km si kupishana kwenye kordo tuuuuuu??
Jambo la ajabu kidogo ni kuwa Zitto kama Naibu katibu mkuu wa Chadema anatenda atendayo kwa kufuata Ideology ya chama chake sasa inakuwaje washabiki wa CCM wanamfagilia kama mtu wao? Ukiona mke anamsifia na kumtaja sana mume wa nyumba ya pili ujue kuna neno hapo
Zitto hakuonyesha unafiki wa siasa.Jambo la ajabu kidogo ni kuwa Zitto kama Naibu katibu mkuu wa Chadema anatenda atendayo kwa kufuata Ideology ya chama chake sasa inakuwaje washabiki wa CCM wanamfagilia kama mtu wao? Ukiona mke anamsifia na kumtaja sana mume wa nyumba ya pili ujue kuna neno hapo
Hayo ni maneno yenu nyie na Zitto alishakanusha kwa kinywa chake kuwa utendaji wao ni wa pamoja. Hamuachi umbea? Huko kwenu hawapo wachapa kazi?
Sikiliza,mie sijasema kuhusu nyumba Dubai. Nimezungumzia mtiririko wa muda mrefu humu jukwaani kuonekana kama Zitto yeye sio kiongozi wa Chadema bali anawakilisha kundi lingine na washabiki wake wanapatikana CCM na wao ni kama kiongozi wao kunani? Mwenye akili lazima apate mashaka.Zitto hakuonyesha unafiki wa siasa.
Amelima pande zote zinazohusika na ufisadi, au ulitaka amsifie Mbowe na kumpongeza kujenga nyumba Dubai?
Hili bandiko lako linakuumbua kuwa umnafiki, sasa kama mnaulea ufisadi mnakimbilia kuchukua nchi ili mjilimbikizie mali?
Huu ndo unafiki sasa...currently mbona unakumbatia majambazi na chama ambacho hata criticism tu hakivumillii.Huna msimamo mkuu..despite the fact that unataka watu wakuamini hivyo.The Arusha Declaration is dead in the water!....and you know it...lakini bado eti unalisimamia(chini ya mwamvuli wa ccm)...Kama unaamini juu ya misingi ya Azimio la Arusha na bado ni kada wa ccm...ww ni mnafiki.This is why i always stand firm into my belief towards the Arusha declaration and CCM policies, sihitaji kuwa shabiki wa mtu au bendera fuata upepo, nasimama mwenyewe katika misingi ya taifa letu iliyojengwa kwa siasa safi za CCM, mwalimu wangu mmoja alishawahi kuniambia, wakati unataka kuchagua sensei mzuri, fanya uchunguzi wa haraka kwa background ya sensei wako kabla ya kujiunga na dojo yake,fahamu kwanza misingi yake, tabia yake kwa jamii, na mafunzo yake yakoje, msemo huu unasaidia kuwa makini na watu na kuwachunguza kwanza na kujitahidi kuwafahamu kabla ya kujiunga nao, si ajabu tena watu kuanza kuhama chama baada ya kusikia madudu ya viongozi wao, itakua aibu na utaonekana mtu ambaye huna msimamo, kama wewe ni kuhama hama tu na watu, si kila anayesema ANAMAANISHA, demokrasia ya kweli inaanza kwa kujitambua na kujenga misingi yako mwenyewe kabla ya kutafuta wale unaowaona mnaendana kimtazamo, na kabla ya kujiunga nao, chukua muda wa kuwafahamu kwanza, bila haya tunaweza kuwapa nchi majambazi tukabaki tunalia..
Hicho ndicho kilichonihamisha CCM! Wamaiasi misingi ya Azimio la Arusha na kukumbatia rushwa, wizi wa mali ya uma, ufisadi, kutorosha na kumilikisha rasilimali za wazawa kwa wageni, kukosa usawa, kuendesha nchi bila kuzingatia miiko ya uongozi, na kubadilika kuwa chama cha wafanya biashara na mabepari huku kikiwa mikononi mwa mafisadi! Vipaumbele vyake vilihama kutoka kupambana na maadui watatu yaani umasikini, ujinga na maradhi na sasa wanatuletea sera walizokopo na kupesti kutoka nje kama Big result now! Hakuna ubunifu tena. Tofauti na wewe hata baada ya kuona kuwa wamevunja misingi ya Azimio, bado umo humo. Mgonjwa huyu hana dalili za kupona!This is why i always stand firm into my belief towards the Arusha declaration and CCM policies, sihitaji kuwa shabiki wa mtu au bendera fuata upepo, nasimama mwenyewe katika misingi ya taifa letu iliyojengwa kwa siasa safi za CCM, mwalimu wangu mmoja alishawahi kuniambia, wakati unataka kuchagua sensei mzuri, fanya uchunguzi wa haraka kwa background ya sensei wako kabla ya kujiunga na dojo yake,fahamu kwanza misingi yake, tabia yake kwa jamii, na mafunzo yake yakoje, msemo huu unasaidia kuwa makini na watu na kuwachunguza kwanza na kujitahidi kuwafahamu kabla ya kujiunga nao, si ajabu tena watu kuanza kuhama chama baada ya kusikia madudu ya viongozi wao, itakua aibu na utaonekana mtu ambaye huna msimamo, kama wewe ni kuhama hama tu na watu, si kila anayesema ANAMAANISHA, demokrasia ya kweli inaanza kwa kujitambua na kujenga misingi yako mwenyewe kabla ya kutafuta wale unaowaona mnaendana kimtazamo, na kabla ya kujiunga nao, chukua muda wa kuwafahamu kwanza, bila haya tunaweza kuwapa nchi majambazi tukabaki tunalia..
Jambo la ajabu kidogo ni kuwa Zitto kama Naibu katibu mkuu wa Chadema anatenda atendayo kwa kufuata Ideology ya chama chake sasa inakuwaje washabiki wa CCM wanamfagilia kama mtu wao? Ukiona mke anamsifia na kumtaja sana mume wa nyumba ya pili ujue kuna neno hapo
Hicho ndicho kilichonihamisha CCM! Wamaiasi misingi ya Azimio la Arusha na kukumbatia rushwa, wizi wa mali ya uma, ufisadi, kutorosha na kumilikisha rasilimali za wazawa kwa wageni, kukosa usawa, kuendesha nchi bila kuzingatia miiko ya uongozi, na kubadilika kuwa chama cha wafanya biashara na mabepari huku kikiwa mikononi mwa mafisadi! Vipaumbele vyake vilihama kutoka kupambana na maadui watatu yaani umasikini, ujinga na maradhi na sasa wanatuletea sera walizokopo na kupesti kutoka nje kama Big result now! Hakuna ubunifu tena. Tofauti na wewe hata baada ya kuona kuwa wamevunja misingi ya Azimio, bado umo humo. Mgonjwa huyu hana dalili za kupona!
Watu wa CCM wakimsifia mpinzani ujue kafanya jambo lenye maslahi kwao.. Zitto amekuwa mtatanishi sana Chadema ikiwa chafu yeye anakuwaje msafi..