...Utakuta baba akirudi toka kazini na kumkuta mkewe nyumbani humsalimia na kwenda zake chumbani kubadilisha nguo za kazini.
After that anapata chakula cha usiku (Dinner) then anaanza kutazama TV au kupitia magazeti yake na kuyasoma.
Muda wa kulala umefika anaenda kuoga na kuvaa pajama zake; mke naye anaenda kuoga na kufanya sawa na mume. Wanapanda kitandani, mume anampapasa mke, mke naya anajua mzee anataka maana ndiyo sex code yake akinigusa kwa mtindo huu maana yake anataka tuwe mwili mmoja na anajisikia kama kusumbuliwa maana alikuwa hajui kama mzee atataka kutokana na kutowasiliana hata hivyo anamkubalia.
Baada ya dakika chache wamemaliza, wapo kimya na mzee anapiga usingizi.
Mke anajiona kama ametumiwa tu kwani hakukuwa na raha yoyote ni kuumizwa tu kwani mwili haukuwa connected hisia...
Matokeo yake mahusiano yakidorora utasikia lawama kwa wife oh umezembea sana, mara mwanamke ubunifu asa huo ubunifu si kwa mwanamke tu jamani hata wanaume!!
Nachelea nsijepigwa ngumi hapa akija Mbu, Fidel, Msanii, Bonnie e.t.c ntashambuliwa mie hadi nikome. Jamani si wanaume wote wanajisahau auh baadhi.
Hivi ukisoma hapo inaonyesha kama huwa ni mwanaume tu ndie anapataga hisia, je mdada akitaka kuwasha pasi yake usiku ni ishara gani anatakiwa atoe ili kumjulisha mwenzie kuwa usiku kuna overtime? Au wao haijalishi?
Sheikh pasi ya mkaa hiyo.......pasi hiyo pasi gani, 'ushapanda' kitandani yenyewe haijawaka tu? 🙂
Sheikh pasi ya mkaa hiyo....
Good stuff! Ila wengine tunajua wajibu wetu.....sasa na wale wadada kila siku anaumwa kichwa hajisikii bila sababu, baba anamlamba hadi macho bado tu inakuwaje?
Wanasahau hawa "Ukiolewa kulala bila chupi ni wajibu"
wajibu tena au hiari?
MJ1
Nimependa ulivyoandika, umeandika kitu reality, ila ningependa kama una dondoo nyingine za kutosha uniandikie through my mail, hamna kitu nachoona ni raha na tiba kubwa hapa duniani kama ukiweza washana kwa amani balbu na pasi hadi zikapoa kwa ushirikiano, ungekua huku kwetu tungekuita kungwi,mwagaa dondoo
Mwanamke huwa kama pasi huchelewa kupata joto na hutunza joto kwa muda zaidi hata baada ya kumaliza kupiga pasi. Kwa wengi wetu huwa inatokea either kusahau au kujifikiria wao wenyewe. Utakuta baba akirudi toka kazini na kumkuta mkewe nyumbani humsalimia na kwenda zake chumbani kubadilisha nguo za kazini.
After that anapata chakula cha usiku (Dinner) then anaanza kutazama TV au kupitia magazeti yake na kuyasoma.
Muda wa kulala umefika anaenda kuoga na kuvaa pajama zake; mke naye anaenda kuoga na kufanya sawa na mume. Wanapanda kitandani, mume anampapasa mke, mke naya anajua mzee anataka maana ndiyo sex code yake akinigusa kwa mtindo huu maana yake anataka tuwe mwili mmoja na anajisikia kama kusumbuliwa maana alikuwa hajui kama mzee atataka kutokana na kutowasiliana hata hivyo anamkubalia.
Baada ya dakika chache wamemaliza, wapo kimya na mzee anapiga usingizi.
Mke anajiona kama ametumiwa tu kwani hakukuwa na raha yoyote ni kuumizwa tu kwani mwili haukuwa connected hisia.
Mwanaume ni rahisi kusisimka kimapenzi wakati mwanamke huhitaji kusisimuliwa. Mwanaume husisimuliwa na moja ya mlango wake wa fahamu kupitia kuona (sight) wakati mwanamke husisimuliwa kupitia milango yote mitano ya fahamu Kuguswa, kusikia, kuona, kuonja, kunusa na wororo (tenderness) wa mwanaume. Mwanaume ni mfano wa bulb ya umeme uki-switch tu mara moja inawaka wakati mwanamke ni mfano wa pasi ya umeme ambayo huchukua muda hadi ipate joto na hutumia muda zaidi to cool off.
Hii ni muhimu sana ukitaka kuwa mpenzi mzuri na mpenzi mzuri hujua na kuzingatia jinsi ya kumridhisha mwenzake.
Mwanamke anaongozwa na highway ya emotions, atajisikia vizuri sana kama alikuwa na idea kwamba kutakuwa na kuwasha pasi yake ya umeme mapema.
Itakuwaje kama wakati wa kuondoka asubuhi mume akampa mke busu la uhakika na kumnongoneza mkewe kwamba vipi unaonaje leo usiku ukawasha pasi mapema kwani nina hamu sana kupiga pasi nguo kwani naona bulbu yangu ina mwanga wa uhakika leo".
Nahisi mke atashinda anaweza jinsi ya kuhakikisha pasi yake inawaka chapchap usiku na ikitokea na mchana akaambiwa neon linguine mwororo inaweza kuwa jioni yenye mwako wa mahaba.
Lakini kwa wengi wetu huwa ni kinyume na hayo na ndio maana wakati mwingine ukipapasa usiku unaambiwa baba nanii leo kichwa kinaniuma sana au nimechoka sana au unapata zero participation na kuambiwa maliza haraka au pasi inakuwa kavu kabisa matokeo yake ni pasi inagoma kuwaka na kuanza kuumizana.
Jifunze kuwa mwanaume mwororo (tenderness) wasiliana na mke, tafuta muda wa kumsikiliza, cheka naye, cheza naye, ongea naye, mpe mgusu (touch), mkumbatie na kumbusu hata kama si wakati wa sex ni wako na ni wewe uliamua kuishi naye.
Mwanaume humtengeneza mwanamake!
Source: The Hill Of Wealth
Masa, baba mwingine ni hodari wa kulamba hadi macho lakini si dereva mzuri. Gari haliendeshi ipasavyo. Anakanyaga breki mahala pa ekselereta. Hapo mama ni lazima atakuwa na visingizio vya kila aina. Mara naumwa tumbo, mara oh mgongo unanikata, kichwa kinanigonga, miguu imekufa ganzi, moyo wangu unaenda mbio, oh sijui nini sijui nini!Good stuff! Ila wengine tunajua wajibu wetu.....sasa na wale wadada kila siku anaumwa kichwa hajisikii bila sababu, baba anamlamba hadi macho bado tu inakuwaje?
Asante sana MJ1 kwa mada nzuri, ingawa title ilinipa shida kidogo kuoanisha na mjadala unaoendelea. Hiyo isiwe ishu, nimeelewa una maana gani. Shukrani kwa kutukumbusha. Usikatae shukrani kwani kule kutuletea hapa from source ni upendo mkubwa ulio nao kwetu.
WanaJF, tukiwa bado kwenye hii mada naomba mnipe ufumbuzi wa tatizo ambalo lipo miongoni mwa baadhi ya wanandoa. Ntafananisha ndoa (mke na mume) kama kufuli na ufunguo. Kimaadili ni kwamba huruhusiwi kukutana kimwili na mchumba wako hadi siku ya ndoa (au baada ya ndoa). Sasa inakuwaje unapokuja kugundua kwamba kufuli ulilochukua haliendani na ufunguo wako? Nina maana ya majambo ya chumbani. Mtu huruhusiwi kujaribisha ufunguo kama unafunguaje kufuli, labda kwa taabu au unapwaya au hadi uweke grisi. Hapo nadhani ndio mwanzo wa mtu kwenda nje kutafuta kufuli linaloendana na ufunguo. Vinginevyo uhusiano wa chumbani unakuwa na upungufu kama huo wa pasi kuchelewa kuwaka au haiwaki kabisa. Balbu nayo inapata shoti mara kwa mara. Mnasemaje kuhusu hili? Tuendelee kuelimishana.
...... Ah nijuavyo mie wote tuna za umeme aina tu ndo tunatofautiana. Hata hiyo yote ya yote ni kwamba tunachelewa kupata moto... Sie mpaka 'tuguswe' vilivyo...ah peck kiss ya shingo...Hata maneno matamu tu kwani si wanasemaga kuna kitu ninaitwa cyber lovemaking? hii inakuwagaje kwani? hatuwezikuifanya kwenye simu zetu kama matayarisho ya kupasi?
Asante sana MJ1 kwa mada nzuri, ingawa title ilinipa shida kidogo kuoanisha na mjadala unaoendelea. Hiyo isiwe ishu, nimeelewa una maana gani. Shukrani kwa kutukumbusha. Usikatae shukrani kwani kule kutuletea hapa from source ni upendo mkubwa ulio nao kwetu.
WanaJF, tukiwa bado kwenye hii mada naomba mnipe ufumbuzi wa tatizo ambalo lipo miongoni mwa baadhi ya wanandoa. Ntafananisha ndoa (mke na mume) kama kufuli na ufunguo. Kimaadili ni kwamba huruhusiwi kukutana kimwili na mchumba wako hadi siku ya ndoa (au baada ya ndoa). Sasa inakuwaje unapokuja kugundua kwamba kufuli ulilochukua haliendani na ufunguo wako? Nina maana ya majambo ya chumbani. Mtu huruhusiwi kujaribisha ufunguo kama unafunguaje kufuli, labda kwa taabu au unapwaya au hadi uweke grisi. Hapo nadhani ndio mwanzo wa mtu kwenda nje kutafuta kufuli linaloendana na ufunguo. Vinginevyo uhusiano wa chumbani unakuwa na upungufu kama huo wa pasi kuchelewa kuwaka au haiwaki kabisa. Balbu nayo inapata shoti mara kwa mara. Mnasemaje kuhusu hili? Tuendelee kuelimishana.
MJ1
Ni kweli kwa baadhi ya watu ila kama ujuavyo hata wanawake nao wanatakiwa kuwaandaa pia waume zao. Mfano lazima wawe ni wabunifu wa kubadilisha staili mabalimbali. Pia decoration za chumbani nazo ni muhimu. Na hapa mhusika mkuu ni mama! Vile ambavyo utajiweka ndivyo ambavyo utamwatract mwenzio.
Lakini pia niulize jamani pajama za nini humo chumbani mwenu? Msije mkanambia na kofuli nazo mnavaa! Jamani tunatakiwa kufeel ngozi ya mwenzio na sio chini ya nguo. Na riha tamu yatosha kuamsha hisia. Sio mama katoka kukamua ng'ombe anakuja na harufu yake ya zizini halafu utegemee jamaa asisimke![/QUOTE]
Nakubaliana nawe, riha nayo ina nafasi yake katika kuamsha hisia. Lakini je, huyo mama amenunuliwa marashi/uturi? Au unatakiwa ajinunulie? Wengine mahodari wa kulaumu mke eti ana harufu ya ng'ombe, kumbe anatumia Mbunju kuogea, ndiyo aliyopewa aogee. Mafuta ya nazi aliyotengeneza mwenyewe ndo kajipaka. Unategemea nini?
Mtengeneze/muandae mamaa kwa kadri ya matakwa yako, ili unaposhughulika naye ufurahie. Mwanamke matunzo bana.