The question before choosing a wife. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The question before choosing a wife.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The dirt paka, Sep 20, 2012.

 1. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  je kwanini mwanamke huwa hayuko tayari kutumia pesa zake kama zinavyotumika zamwanaume katika mambo binafsi na yakifamilia?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Whaat..?
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,174
  Trophy Points: 280
  Mwanamke gani?
   
 4. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwanamke hata kama analipwa milioni she never accept kuwa na yeye anaresponsibility yakutoa kiasi fulani cha kipato chake kwaajili ya mahitaji yakifamilia.
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Hmm...umeitoa wapi hiyo?
   
 6. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  unapotembea ukaona kimvuli chako ujue kuna mwanga, isingekuwa kufikia umri huu unaoniweka katika level yakuwa na familia ninajiuliza ni mwanamke wa aina gani atanifaa ndo swali hilo likanijia nilipomsikia jamaa yangu mmoja akimwomba mkewe laki mbili aongezee katika hela yake yakununulia frame za madirisha kwaajili ya nyumba yao mwanamke akadai hana pesa wakati kila mwezi anapokea mshahara na huwa hatoi matumizi ya nyumbani useme labda budget itaharibika ila jioni ya siku hiyo akatuma pesa laki nane kwa raflki yake amtafutie cherehani inayotumia umeme.
   
 7. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mwanamke yupi, aliye ndani ya ndoa au ambaye yuko nje ya ndoa?

  Kwa walio ndani ya ndoa: Wapo baaadhi yao ambao huwa na hizi tabia kwa kufikiri kuwa majukumu ya kutunza familia kwa kuigharimia ni ya baba na si yao na pia wapo wengine hufanya hivyo kwa sababu ya kuwa na kipato kidogo ukiinganishwa na vya waume wao na hivyo pesa yake kuiona kana kwamba ina mchango mdogo na hivyo kuamua kuifanyia mambo yake, Mf mume mkurugenzi, mke ni Mwl, mume meneja mke anauza duka la stationery nk

  Lakini pia wapo wadada wachache ambao hushirikiana bega kwa bega na familia zao kwenye majukumu ya kutunza familia kwa kuchangia vipato vyao.

  Kwa wasio ndani ya ndoa: Kwa kweli wanadada wengi hujitahidi sana kutunza na kukumbuka familia zao na hata huko mikoani (kama hawakai nazo) saa nyingine zaidi ya hata sisi wanaume.
   
 8. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Nadhani tuwape nafasi wahusika waje wathibitishe au kuikanusha kauli yako with vivid examples!!!!!!!!
   
 9. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Wazee wetu ndio walikuwa wanajali familia kwa pamoja maana nakumbuka wazee wetu walikuwa wanaweka mezani mzigo mzima na kupigia bajeti yoote ya mwezi kwa maandishi....na kidogo wana save au wana invest kwenye miradi kuku au ng'ombe!period!!siku hizi ni nadra sana kila mtu anasunda kivyake na kusikiliziaa.....ndani ya nyumba ni balaa wengi wanaishi kwa mazoeaa!!!
   
 10. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa mfano unamke anafanyakazi serikalini au kwenye kampuni fulani au anabiashara yake binafsi ambayo kimsingi humpatia kipato kizuri tu angalau laki3 hadi 4 kwa mwezi lakini hata chumvi ikiisha anataka wewe mwanaume ndo utoe hela kama haupo anakopa au saa zingine akitoa yake anakua kama amesave siku akitaka kufanya mambo yake ya kike anaomba uirudishe hata kama aliitoa mkafanyia kitu chenye manufaa kwenu nyote.

  Pia kunawakati anakwenda katika misele yake bado anataka umpe pesa wewe tu, hata kama mnamtoto anasoma akarudishwa nyumban kwasababu ya ada yeye hayukn tayari kulipa atakwambia mwanao karudishwa hela chakushangaza hata mapambo yake anategemea utoe wewe kwakisingizi kuwa mwanaume akioa anapaswa kumgharamikia mkewe ili apendeze.


  Na kama akijitahidi hela yake ataitumia kununua nguo zake na kuendea salon au kununua vgpodozi basi.

  Hi ni kali sana kwasababu marafiki zake watapewa au kukopeshwa mume utaambiwa sina hela.
   
 11. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,084
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  ni hawa wapumbavu wa siku hizi wengine tumelelewa, ada na mama amelipa baba akiwa hajui, lkn sijui kama mama alimdai baba hela ya ada
   
Loading...